LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHAWA mlalahoi!
Lissu hajawahi kuomba kuchangiwa gari hata siku moja.
Sawa hakuomba,

Ilitakiwa aonyeshe hapendi kutumia magari ya kifahari kama wafanyavyo CCM.

Nitake radhi kuniita chawa.
 
Sawa hakuomba,

Ilitakiwa aonyeshe hapendi kutumia magari ya kifahari kama wafanyavyo CCM.

Nitake radhi kuniita chawa.

Kiongozi ushawahi kusikia mlio wa risasi ya SMG? Sembuse iingie ndani ya mwili wako na upone, sidhani kama ungekua wewe hata ungetamka tena "siasa". Hebu mambo mengine tuwe tunatumia common sense kabla ya kutype hapa!
 
Sasa tunaongelea wananchi kuchukua viongozi kununuliwa magari ya kifahari wewe unaongelea risasi,

Jibu HOJA.
 
Sasa tunaongelea wananchi kuchukua viongozi kununuliwa magari ya kifahari wewe unaongelea risasi,

Jibu HOJA.
Hoja ni kwamba wachangiaji waliamua kutoa pesa zao kumnunulia gari wanaloamini wao litampa protection ya kutosha, na ya usalama wake, watu kumpatia mpendwa wao wanachoona kinamfaa wasiomchangia au kuhusika wanaumiaje?. Lissu hajawahi kuwa madarakani hadi useme eti akiwa huko hatapinga matumizi mabaya ya mapesa. Kwa hiyo kiongozi wewe umeona ufujaji upo kwenye mashangingi tu? Hii ni peanut kijana. Kama ndivyo basi utakua huijui nchi yako!
 
Kwani aliwaomba au ni sisi wapenzi wake ndiyo tumetaka iwe hivyo, hata hivyo hatumnunulii gari ya kifahari mkuu.
Pia hiyo hela hatuitoi hazina ni ya mifukoni mwetu
 
Usiwe kama msukule, jaribu kufikiri

Hoja ni kwamba hiyo tume ni ya ngapi kuhusu majengo kuporomoka???
Je hili lililoundiwa tume limejengwa mwaka gani??
Je! Mapendekezo ya tume za awali yalifanyiwa kazi???!
Nchi hii tuna idadi ya report za tume nyingi sana bila majibu ya maana sana.
 
NA MMEMCHANGIA HELA KAENDA KUHONGA KWA BWANA MZUNGU YAANI NYUMBU CHADEMA WAPO WENGI SANA HAWATAISHA

Sawa ni zetu hazina issue na CAG wala ukosefu wa huduma bora kwa wananchi
Karibu tena kwa hika nyingine yenye Masahiko
 
Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
CDM na CCM wote wanatukamua!!
 
MSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO TUKIO
Alafu kutuangusha sana wana CDM wa Kariakoo tulikua tunamsubiri kwa hamu kubwa sana tulipuke ya moyoni mwetu!!! Lisu huyu siyo kama Lisu wa zamani wa enzi za Mwendazake!!
 
Upinzani sawa na mtoto wa kambo hata afanyiwe wema kiasi gani Bado atalalamika.
 
Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja, ni mapumba
Kwa gharama gani na ni Tume ngapi zilishaundwa kwa jambo kama hili (sababu hili sio geni)...

Ni mwendelezo wa kuwa reactive badala ya proactive
 
Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja, ni mapumba
Utaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.
Poleni ndugu wa wafiwa.
 
MSHENZI HUYU HATA KWENDA HAKUENDA ANAPATA WAPI UJASILI WA KUZUNGUMZIA HILO TUKIO
Kwani kazi yake ni kutembelea sehemu za majanga ? Kwanza angeenda pale ni kuongeza jam..., Yeye kama mwananchi ni kazi yake kuongelea pahali ambapo anaona hapako sawa (kama mlipa kodi) ni haki yake kuhoji..., hayo ya kutembelea tukio ni utashi wake (wote tukisema twende pale huenda pakatokea janga jingine la msongamano... Ila ndio hivyo utamaduni wa sasa ushakuwa wa kuuza Sura

Utaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.
Poleni ndugu wa wafiwa.
sahihi kabisa. hapo tusubiri tu janga lingine basi. nchi inaenda kishkaji.
 
Utaisubiri hiyo riport ya tume hadi uingie kaburini, sisi tuliosoma cuba ndo lishapita hilo janga tunasubiri jengine.
Poleni ndugu wa wafiwa.
Tume hairipoti kwangu, kwa nini niisubiri wakati sijawatuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…