LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Rais kashaunda Tume ya uchunguzi, hii sio hoja,
Tume ndiyo mdudu gani, unajua kutoka Kariakoo mpaka maeneo ya Kisutu hii si mara ya kwanza kwa ghorofa kuanguka na tume zilishaundwa sana. Tume ni kiinimacho cha kuvuta muda waiting for the heat to cool down.
 
Lissu: Waziri ananunuliwa gari ya ml 500 Kwa JASHO la wananchi, Nchi Haina vifaa vya uokozi vya ml 10.

Hapo hapo TUNDU Lissu anawaomba wananchi hao hao maskini wamnunulie gari Kwa kuchangishana la ml 500.

Sasa tuchukue lipi tuache lipi?
Bora anayeomba fedha kuliko anayeiba kodi za wananchi.
 
Nchi yenu imekwama ndani ya chama fanyeni uokozi acheni kujadili magari
 
Kuna Ma lady boys kama Tlaa watakuja kubishia hili
 


Your browser is not able to display this video.

Hii ndio kitu iliyokua inafanyika Pale Kariakoo Huku Juu ndani ya gorofa kuna watu. Fikiria ujinga huu! Hii Siyo Kazi Ya Mungu ni Kazi ya Binadamu.
 
kwani
Inakuaje anaomba omba kuchangiwa mamia ya mamilioni ya pesa kwajili tu ya kununulia gari lake binafsi, na haoni umuhimu kabisa kuchangisha pesa kwajili ya walau kujenga zahanati kule Singida, darasa au kuchimba kisima cha maji kule Singida ambako kuna umaskini wa kutupwa na shida ya maji sana?🐒
 
Yeye angeweza???
 
na usijekuta hizo hela ananywea pombe tu, kwanza kibali cha kuchangisha hizo hela kasim alitoa lini?
 
Rock mechanics????? oK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…