MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Kahama kwenda kuunga juhudi za magu ushauri wangu maendeleo haya letwi na ccm tu Bali wananchi wenyewe
 
Alishasema tena bila aibu mbele ya raisi kuwa hata yeye anaweza kuwa C. C. M. Siku moja.. kama unakumbuka siku aliyomponda yule mkurugenzi
 
Nafikiri kuna haja ya kupitisha sheria kwamba ukiacha ubunge hakuna kugombea tena mpaka awamu hiyo ipite au kama unataka kugombea basi lipia gharama zote za uchaguzi.. Huu ni upumbavu wa halo ya juu sana.. Kamekua kama kamchezo sasa.. Kodi zetu zinaenda kis*e**e tuuu
 
Ni usaliti na unyonywaji wa kodi za watanzania kwani kila Leo zinafanyika chaguzi zz marudio ilihali matatizo tunayo mengi watumishi wa umma tumesuswa kabisa hatutazamwi hata sijui kwani ni tofauti na awamu nyingine. Nchi inaendeshwa na wafanyakazi
Demokrasia ni gharama mkuu na fedha za uchaguzi zina bajeti yake.
 
CHADEMA ngoja niwashauri sasa hii imekuwa too much ili wasiwe wanaunga mkono mkiona dalili tu mbunge anataka kuhama mnampiga chini kabla hajaunga mkono muanze na wa UBUNGO, KIBAMBA,SUGU mpigeni chini kabisa maana kule ccm iko vizuri sana sasahivi MSIGWA na wengine hebu cghukueni maamuzi magumu siyo kila siku mnalalamika tu mnalalamika tu kisha muangalie na sera zenu na mengineyo
 
Nafikiri kuna haja ya kupitisha sheria kwamba ukiacha ubunge hakuna kugombea tena mpaka awamu hiyo ipite au kama unataka kugombea basi lipia gharama zote za uchaguzi.. Huu ni upumbavu wa halo ya juu sana.. Kamekua kama kamchezo sasa.. Kodi zetu zinaenda kis*e**e tuuu
Nyalandu alivyohama haikuwa nongwa
 
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.

Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.

Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.

Akitangaza kujivua uanachama amesema,

Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Nawaomba wananchi wa Serengeti, mlinipa imani kubwa ya kuwatumikia lakini imefikia sehemu kupitia CHADEMA naona kama siwatendei haki.

Nimeamua nijivue uanachama na kujinga na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za maendeleo ambazo anazifanya Rais Magufuli. Niwaombe wananchi wa Serengeti, nafasi ipo kwenu chagueni mtu mnayemuona anawafaa kuwawakilisha ambaye ataungana na Rais Magufuli kuwaletea maendeleo.
Asanteni sana.

VIDEO:

​

Hili ni pigo kuu kwa Mbowe ikiwa ni siku 2 tu toka azindue kitu alichokiita Sera mbadala.

Chadema dhaifu imaejifia.
 
Nafikiri kuna haja ya kupitisha sheria kwamba ukiacha ubunge hakuna kugombea tena mpaka awamu hiyo ipite au kama unataka kugombea basi lipia gharama zote za uchaguzi.. Huu ni upumbavu wa halo ya juu sana.. Kamekua kama kamchezo sasa.. Kodi zetu zinaenda kis*e**e tuuu
Wanaopitisha hizo sheria si ndio haohao wanaohama.
 
Hata huko kiwalani walikoanzisha umbea huwa wananyoosha maelezo japo kidogo.
 
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.

Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.

Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Tulia sindano zikuingie,unanini cha maana?
 
Huu ni ujinga .....!!

Haiwezekani wenye akili zao wote wakawa na sababu moja ya kuhama chama.
 
Back
Top Bottom