MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Demokrasia ni gharama mkuu na fedha za uchaguzi zina bajeti yake.
Mkuu naomba niulize swali, fedha kwa ajili ya uchaguzi kama huu wa marudio huwa zipo tuu huko NEC, maana mbunge kujiuzuru ni unexpected event, je wanajuaje sasa kwamba tutenge na fedha za by election,
 
Wana jf naomba kujyzwa kuhusu wabunge wa viti maalum.
Ninavyoelewa ni kwamba jinsi unavyopata wabunge wengi katika majimbo ndivyo pia unapata wabunge wengi wa viti maalum
Sasa endapo chama cha siasa kinapoteza wabunge wengi wa kuchaguluwa majimbo hivyo kukosa sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum sheria inasenaje?
Nao pia wanapungwa na kuongezewa wale Walloongeza wabunge wa majimbo?
Mkuu wabunge Wa viti maalum hupatikana kutokana na kura za urais uliopita kigezo kikuu sii idadi ya wabunge laa
 
Huyu si ndiye rais alisema mkurugenzi awaoe dada zake baada kumchongea kuwa ni fisadi?
 
Huyu na waitara wameteteresha Sana Ile Imani kwamba watu wa kanda Ile ni wanaume wa shoka..
 
Siasa ina sifa hizi
1.Uongo
2.Unafiki
3.Utumwa

Nawachukia sana wana siasa,huwa hawaaminiki popote duniani.
 
Kwa hii comment akipita hapa jiwe anakuwa karatasi... ndugu umeandika kinyonge
Mkuu tunadharirika kitaa ile heshima tuliokuwa nayo zamani kama watumishi wa umma haipo tena, tunaandamwa na madeni, afu viongozi wetu hataa hawajali, increment tu kuongeza imekuwa ni ngumu yaan, wengine hapa life yetu ni Mungu tuu pekee ndo anajua kwakweli.
 
Kwamba kutokuunga mkono ndio kunazuia hayo?
Mtu anashauri nchi wahisani wasitishe mikopo...ili miradi ya maendeleo isikamilike...unadhani huyo hazuii kupatikana 'maziwa na asali' nchini? Tena anaenda mchana kweupe na kujiapiza kuwa hataunga mkono juhudi za serikali, unategemea nini?
 
Upumbavu tu na ushenzi kulitia taifa hasara kwa visingizio vya kuunga mkono juhudi za mtu fulani .

Wala sio kitendo cha ushujaa wala uzalendo ni kitendo cha kinafiki,kizandiki,kichawi,kihaini dhidi ya taifa letu.

Watu wako loyal zsidi kwa mtu kuliko taifa letu

Hizo gharama za uchaguzi wa marudio wanaliingiza taifa hasara masikini na watu wa vijijini wanataabika kwa kukosa huduma za msingi .

Huyu marwa usikute hats hilo jimbo lake sijui wilaya haijaunganishwa hata na barabara wala hakuna umeme wala maji

Si angengoja 2020 ahamie huko vizuri

Eeeh MUNGU tunusuru na kadhia hizi
 
Mamilioni mengine yanapotea tena kisa kurudia uchaguzi,

Tatizo kwa Taifa, then atarudi kugombea na wananchi watampa kura bila kujua anatupotezea hela ambazo zingeweza kutumika kutatua baadhi ya kero.

Raia Mwema
 
Mkuu mbona unashangaa? Magufuli ni rais mzuri mno,hana kasoro yoyote ile,na Tanzania haitapata rais bora kama Magufuli,tangu aingie madarakani uchumi wa Tanzania umepaa kwa 45%,ajira zimeongezeka kwa 38%, Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa vyombo vya Habari umekua,sasa kwa nini wapinzani wasimuunge mkono?
Napendekeza Magufuli atawale milele.
CCM HOYEEEEEEEE......!!!
Sarcastically
 
Back
Top Bottom