Upumbavu tu na ushenzi kulitia taifa hasara kwa visingizio vya kuunga mkono juhudi za mtu fulani .
Wala sio kitendo cha ushujaa wala uzalendo ni kitendo cha kinafiki,kizandiki,kichawi,kihaini dhidi ya taifa letu.
Watu wako loyal zsidi kwa mtu kuliko taifa letu
Hizo gharama za uchaguzi wa marudio wanaliingiza taifa hasara masikini na watu wa vijijini wanataabika kwa kukosa huduma za msingi .
Huyu marwa usikute hats hilo jimbo lake sijui wilaya haijaunganishwa hata na barabara wala hakuna umeme wala maji
Si angengoja 2020 ahamie huko vizuri
Eeeh MUNGU tunusuru na kadhia hizi