Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Mkuu, utumishi wa umma ni mzigo mzito..Hawa wanasiasa wangeacha kwanza tuongezewe mishahara wenzao kwanza daah, maisha yetu watumishi wa umma ni magumu mno
Ni usaliti na unyonywaji wa kodi za watanzania kwani kila Leo zinafanyika chaguzi zz marudio ilihali matatizo tunayo mengi watumishi wa umma tumesuswa kabisa hatutazamwi hata sijui kwani ni tofauti na awamu nyingine. Nchi inaendeshwa na wafanyakaziNasikia huyu jamaa kajiunga na chama la wanaView attachment 879872
Demokrasia ni gharama mkuu na fedha za uchaguzi zina bajeti yake.Ni usaliti na unyonywaji wa kodi za watanzania kwani kila Leo zinafanyika chaguzi zz marudio ilihali matatizo tunayo mengi watumishi wa umma tumesuswa kabisa hatutazamwi hata sijui kwani ni tofauti na awamu nyingine. Nchi inaendeshwa na wafanyakazi
Nyalandu alivyohama haikuwa nongwaNafikiri kuna haja ya kupitisha sheria kwamba ukiacha ubunge hakuna kugombea tena mpaka awamu hiyo ipite au kama unataka kugombea basi lipia gharama zote za uchaguzi.. Huu ni upumbavu wa halo ya juu sana.. Kamekua kama kamchezo sasa.. Kodi zetu zinaenda kis*e**e tuuu
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Akitangaza kujivua uanachama amesema,
Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Nawaomba wananchi wa Serengeti, mlinipa imani kubwa ya kuwatumikia lakini imefikia sehemu kupitia CHADEMA naona kama siwatendei haki.
Nimeamua nijivue uanachama na kujinga na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za maendeleo ambazo anazifanya Rais Magufuli. Niwaombe wananchi wa Serengeti, nafasi ipo kwenu chagueni mtu mnayemuona anawafaa kuwawakilisha ambaye ataungana na Rais Magufuli kuwaletea maendeleo.
Asanteni sana.
VIDEO:
Nyalandu aliacha na si mbunge tena . huoni malalamiko hapo yanahusu nini? MTU anaacha ubunge na kugombea hapo hapo alipoacha. What does it mean ? Tuweke ushabiki wa vyama na kujadili hili jambo kwa Maslahi mapana na mstakabali wa Taifa letu. Tunaenda wapi?Nyalandu alivyohama haikuwa nongwa
Wanaopitisha hizo sheria si ndio haohao wanaohama.Nafikiri kuna haja ya kupitisha sheria kwamba ukiacha ubunge hakuna kugombea tena mpaka awamu hiyo ipite au kama unataka kugombea basi lipia gharama zote za uchaguzi.. Huu ni upumbavu wa halo ya juu sana.. Kamekua kama kamchezo sasa.. Kodi zetu zinaenda kis*e**e tuuu
Tulia sindano zikuingie,unanini cha maana?Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Kaondoka nyalandu pekee ulisikia tena wa ccm kachomoka? Acha kupest mamboNyalandu alivyohama haikuwa nongwa