MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Hata wewe? As if siasa na Watanzaia ni vigeni kwako
 

Mkuu utafakari wakati unajua mchawi pesa

Ilo tatizo lililo ndani ya chadema mbona hawo wanao hama hawasemi

Sana utasikia wakimnanga mwenyekiti na kuunga juhudi za muheshimiwa
 
Hiyo sasa hivi siyo habari kabisa,
 
Hivi usajiri wao hauna cha msimu wala dirisha dogo?
 
Nilimsikia siku ile kwenye mkutano Wa Magu akisema msinizomee na Mimi naweza kuwa mwanaccm
True hata mimi nilimsikia akisema kwa hiyo. Sishahangai. Ila nadhani siasa za CCM sasa zimekuwa Uchwara. hivi hayo mabilioni ya marudio ya chaguzi ndogo si afadhali zingejenga miundombinu au hospitali?
 
Rudia basi kwenye maandishi yako uyaweke sawa ili yasomeke vema kama buku 7 utapata tu
Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
 
Wakikusikia wenye uhitaji wa hao wabunge watakugombania
 
Mkulu alimwambie Ded Serengeti amuolee Dada zake ili kudumisha heshima, atakuwa ametishika na hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…