Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

What is the rationale of this post?
 
Mkuu hata uandike nini Hawa viumbe hawajielewi. Wanaongozwa na mihemko yao, sasa hivi wanasema wanazingatia maokoto yaani ndiyo usi seme wao sasa hivi ndiyo wameshika usukani wana ongoza kwa kuambukiza UKIMWI, U.T.I, MAGONJWA YA NGONO, tena kwakuwa wao maungo yao ya siri ni rahisi sana kushika au kupata haya magonjwa basi weeeeeee.
Kuna pisi kali moja nilikuwa napiga ebwana ile pisi si nilikuwa nime izoea, wote tupo negative nikawa napiga kavu ebwanaaaaa weeeeew.
Ile pisi ilifanya nikaja umwa ugonjwa wa U.T.I sugu naenda hospitali kwa mara ya kwanza naambiwa naumwa cystitis ebwanaa kibofu cha mkojo kilikiwa kina vimba na kuuma balaaa yaani hakuna rangi niliacha kuona kila dawa nayotumia ina dunda niliteseka balaaa nilidhani kibofu kinaelekea kupasuka, nilikuna pona mwezi baadaye kuna dokta mmoja alinipipa dripu hizo ni nyingi, tatu asubuhi mchana na jioni kwa siku 7 nadhani kama nakumbuka vizuri....ndiyo nikaja pona...sikuamini kama nilipona na mazoea na ile pisi kali nikafutilia mbali mpaka leo....demu mimi sipigi bila ndomu hata kama tupo negative aiseee.

WANAWAKE NDIYO WANA ONGOZA KUSAMBAZA MAGONJWA SASA HIVI NA HII YOTE NI SABABU YA TAMAA ZA HELA KAZI RAHISI KWAO NI KUDANGA NA UMALAYA TUU.
 
Dogo demu anayekufaa sio yule anaeonekana mzuri kwa wote shika hii point itakufaa maishani..
 
Rafiki yangu mmoja alikuwa na demu wake ambaye akikaa muda mrefu bila kumgonga awaka tamaa za mwili lakini akishmgings tu snsmuona ksma takataka. Kumbe ni wenge lake tu na tamaa za ngono
 
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
#Kujitambua ni muhimu
MANENO MACHUNGU SANA KWA WADADA WANAOJIONA NI PISI KALI.
 


Ushauri mzuri sana huu hasa kwa wa Dada, umewapa siri muhimu sana, ila hawatakusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…