Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

Hehehe hii mada hii itatuumbua sana.

Hakuna Mwanaume aliyekuwa anatamani wanawake Viuno vya nyigu kama mimi.

Mwisho nikasema ngoja niachane nazo hazina maana yoyote.

Sijawahi ona maajabu kama wanavyosifika mtaani.
acha tu hawa viumbe wenzetu wapo tofauti sana yaani nje na ndani ni vitu viwili tofauti..
Kuna mwingine unakutana nae hata kuzaa hajazaa mtindi umeshashuka muda hapo unajua kabisa hakuna jambo hapa ameshachomoa za kutosha miili yao haidanganyi..
 
Mkuu hata uandike nini Hawa viumbe hawajielewi. Wanaongozwa na mihemko yao, sasa hivi wanasema wanazingatia maokoto yaani ndiyo usi seme wao sasa hivi ndiyo wameshika usukani wana ongoza kwa kuambukiza UKIMWI, U.T.I, MAGONJWA YA NGONO, tena kwakuwa wao maungo yao ya siri ni rahisi sana kushika au kupata haya magonjwa basi weeeeeee.
Kuna pisi kali moja nilikuwa napiga ebwana ile pisi si nilikuwa nime izoea, wote tupo negative nikawa napiga kavu ebwanaaaaa weeeeew.
Ile pisi ilifanya nikaja umwa ugonjwa wa U.T.I sugu naenda hospitali kwa mara ya kwanza naambiwa naumwa cystitis ebwanaa kibofu cha mkojo kilikiwa kina vimba na kuuma balaaa yaani hakuna rangi niliacha kuona kila dawa nayotumia ina dunda niliteseka balaaa nilidhani kibofu kinaelekea kupasuka, nilikuna pona mwezi baadaye kuna dokta mmoja alinipipa dripu hizo ni nyingi, tatu asubuhi mchana na jioni kwa siku 7 nadhani kama nakumbuka vizuri....ndiyo nikaja pona...sikuamini kama nilipona na mazoea na ile pisi kali nikafutilia mbali mpaka leo....demu mimi sipigi bila ndomu hata kama tupo negative aiseee.

WANAWAKE NDIYO WANA ONGOZA KUSAMBAZA MAGONJWA SASA HIVI NA HII YOTE NI SABABU YA TAMAA ZA HELA KAZI RAHISI KWAO NI KUDANGA NA UMALAYA TUU.
Hiyo Paragrafu ya Mwisho😂😂😂
 
Kwema Wakuu!.

Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.

Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.

Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.

Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.

Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.

Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.

Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.

Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.

Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.

Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.

Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.

Chunga sana
Wasalamu
Underrated!
 
Back
Top Bottom