Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

Hayo magonjwa wanawake hawatoi hewani. Wanatoa kwa wanaume hivyo wote ni wasambazaji.
 
Nakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…