Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Wahindi wanasema "Ball dinda akli potea".
Hah... unazngua ww.Wahindi wanasema "Ball dinda akli potea".
Aisee mwanamke wa namna hii nitampenda mpaka basi... na mwanamke amuheshimu mwanaume kila wakati.
Ni kawaida na asili ya mwanaume. Ukiheshimiwa unapata nguvu na ujasiri wa ajabu.Aisee mwanamke wa namna hii nitampenda mpaka basi.
Mimi bwana napenda sana mtu aniheshimu japo huwa silazimishi. Yan mtu wangu anioe heshima tuuu basiiii hayo mengine walaa.
Mtu anaponikosea heshima, seriously napata wakat mgumu kwel kwel
π―Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Somo zuri,ila sijui kama watalielewa...Kwema Wakuu!.
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.
Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.
Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.
Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.
Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.
Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.
Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.
Chunga sana
Wasalamu
Kuna Ile Ume hustle saba kwenda naye Hotel hadi nauli umemlipia kutoka Mkoa kwenda Mkoa...ukishamaliza game tu unajawa na Depressiona kabisa unaanza kujuta Pesa yako.Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Hahaaa kumbe hii inawakuta wanaume wengi.Tukishakojoa na Sala ya Toba inaanzia hapo hapo!halafu aiseh Ile bad feeling ni mbaya sana!!
Mwanzo anaona Wa Nje anamjali. Ukimwacha yule wa Nje hamchukui kwa kuwa kashamkojolea mvuto umeishaWanawake wengi hudharau Waume zao kisa mawenge ya wanaume wa huko mitaani.
Wakiachwa ndio wanajua ukweli
Kaka, watakuja wakuambie michongo hamna siku hizi....MADOGO MM NILIJUA MNAPEANA MICHONGO YA HELA......KUMBE MAPENZI π€£π€£π€£π€£
Mwl mbona mkali???Kanyweni chai nyie malofa.....
Halafu unakuta amekolea na ndoa anataka!!Hahaaa kumbe hii inawakuta wanaume wengi.
hiyo kweli kuna nyingine hazina radha kabisa kama unakula ugali bila mboga..Ndo maana unakuta jamaa ameiacha pisi kali ya kwenda ambayo wewe unaiwazia utaipataje?
Ukimuuliza jamaa anakwambia hakuna kazi pale ..
Uzi wa moto.Kwema Wakuu!.
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.
Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.
Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.
Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.
Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.
Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.
Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.
Chunga sana
Wasalamu
Sasa hivi wanazingatia sauti nzito ya Jaiva!ππππππππUPO sahihi sana kitu kizuri ni kile ambacho hauna huwezo wa kukipata
Ila wanawake wao hawaelewi hili jambo ,
Hehehe hii mada hii itatuumbua sana.hiyo kweli kuna nyingine hazina radha kabisa kama unakula ugali bila mboga..
Wanataka kuishi kama zari na kina hamisa sasa wanajikuta wapo kwenye mamichezo mingi hela hawana wanategemea kwa wanaume...Mkuu hata uandike nini Hawa viumbe hawajielewi. Wanaongozwa na mihemko yao, sasa hivi wanasema wanazingatia maokoto yaani ndiyo usi seme wao sasa hivi ndiyo wameshika usukani wana ongoza kwa kuambukiza UKIMWI, U.T.I, MAGONJWA YA NGONO, tena kwakuwa wao maungo yao ya siri ni rahisi sana kushika au kupata haya magonjwa basi weeeeeee.
Kuna pisi kali moja nilikuwa napiga ebwana ile pisi si nilikuwa nime izoea, wote tupo negative nikawa napiga kavu ebwanaaaaa weeeeew.
Ile pisi ilifanya nikaja umwa ugonjwa wa U.T.I sugu naenda hospitali kwa mara ya kwanza naambiwa naumwa cystitis ebwanaa kibofu cha mkojo kilikiwa kina vimba na kuuma balaaa yaani hakuna rangi niliacha kuona kila dawa nayotumia ina dunda niliteseka balaaa nilidhani kibofu kinaelekea kupasuka, nilikuna pona mwezi baadaye kuna dokta mmoja alinipipa dripu hizo ni nyingi, tatu asubuhi mchana na jioni kwa siku 7 nadhani kama nakumbuka vizuri....ndiyo nikaja pona...sikuamini kama nilipona na mazoea na ile pisi kali nikafutilia mbali mpaka leo....demu mimi sipigi bila ndomu hata kama tupo negative aiseee.
WANAWAKE NDIYO WANA ONGOZA KUSAMBAZA MAGONJWA SASA HIVI NA HII YOTE NI SABABU YA TAMAA ZA HELA KAZI RAHISI KWAO NI KUDANGA NA UMALAYA TUU.