Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii.
Tukumbukeni yule mama wa Tanga alisema kitu kuhusu hawa watu kuwa wanajiingiza sana kwenye uongozi. Na kwa sasa ndo wanapata sana uongozi.
Huyu dogo wakati anaongea tulisema sisi wengine huyu DOGO SIYO. alishajitoa kwenye group muda sana hatukusikilizwa kuna wakubwa walikuwa wanampigia debe achaguliwe.
Sasa hawa wapo wengi sana chamani na siku hizi hawana hata aibu wamejiachia tu. Hawa ni kinyaa.