Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
waelese mamanguuHuwa najiuliza hawa wanaoua wenzao ndio kwamba wanajua sana kupenda au mawenge tu, wengine wanasema mwanaume anakua amewekeza kuna wanaume hawatoi hata vocha nao unakuta wanavimbaa shida inakua ni gani? Mimi mtu akinitishia tu kidogo ni spidi kali, kijana mdogo ameharibu maisha yake kiboya sana.
Shida ni Mdomo ulikiponza Kichwa.. unapokua na Mwanaume nakuibia Siri chunga Ulimi wako usiongee maneno mabaya kwa Mwanaume wako hata iweje ishi nae kwa upole unapoanza kutengeneza nae ligi ya maneno na kumuona km mtu asie na thamani huyu ametumia gharama na alishajitoa maisha yake kwa ajili yako then wewe unapindua meza hivi unafikiri mtu km huyu anajifikiriaje? Chunga Ulimi wako yale maneno yenu ...Mwanaume wewe Mwanaume na hicho kisukari chako utanisaidia nini mimi? Katika wanaume na wewe mwanaume? Niondokee hapa achana na mimi nishasema sikutakiHuwa najiuliza hawa wanaoua wenzao ndio kwamba wanajua sana kupenda au mawenge tu, wengine wanasema mwanaume anakua amewekeza kuna wanaume hawatoi hata vocha nao unakuta wanavimbaa shida inakua ni gani? Mimi mtu akinitishia tu kidogo ni spidi kali, kijana mdogo ameharibu maisha yake kiboya sana.
Huna aibu unajua🙄Seran kesho happy birthday yangu takutumia namba zangu utupie chochote mkuu, usinifanyie hivo zawadi muhimu mkuu♥️♥️🙏🤣
That’s what I meant, didn’t know how to put it.. lakini kuegemea upande wa investment tu si sahihi sana!Wivu tu na mambo kijinga? Is this your best hypothesis? I consider you to be an intellectual; and please don't let me down.
Wivu wa kijinga may just be a trigger but if you dig deeper, I am sure, there are other interconnected reasons behind this epidemic - economic, mental, psychological etc.
Ishu inaanzia hapo Buddha issue ni kibunda issue ni mapene issue ni mchele, imagine hujawahi kumpa kiasi hicho hata mama yako mzazi akanunue dagaa wa mafungu unajitoa kwa moyo wako wa upendo kabisa unampa mtoto wa mtu mwenye meno 32 ili tu avae ale apendeze na aishi vizuri unapitia viusumbufu vya hapa na pale kero za hapa pale unavumilia mtoto wa kiume ili tu mambo yasiwe mabaya then from no where tu siku ya siku huyo huyo uliejitoa kwake usiku na mchana anakuja kukutemea shit mbaya sana tena shit ambayo hukutarajia km utaipata kutoka kwa mtu km huyo, ningeomba vigezo vya kununua bastora vishushwe isiwe tena ukiwa na M5 ukiwa hata na 500k ununue Bastora.. nina maana yanguThat’s what I meant, didn’t know how to put it.. lakini kuegemea upande wa investment tu si sahihi sana!
Hili pia lipo mkuu.Ukizingatia maisha yenyewe kwa sasa ni high risk🤔🤔🤔Kwa sasa kama huna time na mtu tell them mapema, kama unataka kupiga/kuliwa na kusepa, mwambie mtu straight.
Kudanganya kwenye mahusiano mwisho wake ndio huo, sio wote wenye uwezo wa kuhimili changamoto za mapenzi.
Kwahiyo hapo kinachoumiza zaidi ni zile gharama sio?Ishu inaanzia hapo Buddha issue ni kibunda issue ni mapene issue ni mchele, imagine hujawahi kumpa kiasi hicho hata mama yako mzazi akanunue dagaa wa mafungu unajitoa kwa moyo wako wa upendo kabisa unampa mtoto wa mtu mwenye meno 32 ili tu avae ale apendeze na aishi vizuri unapitia viusumbufu vya hapa na pale kero za hapa pale unavumilia mtoto wa kiume ili tu mambo yasiwe mabaya then from no where tu siku ya siku huyo huyo uliejitoa kwake usiku na mchana anakuja kukutemea shit mbaya sana tena shit ambayo hukutarajia km utaipata kutoka kwa mtu km huyo, ningeomba vigezo vya kununua bastora vishushwe isiwe tena ukiwa na M5 ukiwa hata na 500k ununue Bastora.. nina maana yangu
Usishike Bastora Mwanaume
Alikuibia au ulimpa mwenyewe 😂 ?
Sawa dadaWewe mwanamke kuwa makini.
Tawaonea aibu wengine sio wewe mremboHuna aibu unajua🙄
AISEESiku hizi hawapigi, wanaua.
Hakuna nature ya kupiga mwanamke,,Ni nature; so automatic kama ambavyo ukimtazama maumbile yanasimama!