Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Huyo ni wakili atajitetea mahakamani kama lissu
 
Hivi wenye wake wanne na wao wanakuwa na wivu kiasi hiki? Hii dunia ina watoto wakali, wanazaliwa kila kukicha ya nini kung'ang'ania mmoja ambaye anakuzingua!
 
Kuna kenge ilikula ada yangu ya chuo,, sijui inakatia mauno wapi siku hizi...
Bora we adaa m ilikuwa inakula boom yanguu Bwasheeeeeee

Ndio maana namin mbinguniwanaume n wengi kuliko hawa ...

Yaan nasotaaa wali maharage palee udsm manzese rest lenyewe linakula chips mwisho nashtuka aisee mwaka wamwisho loh
 
Kuna kenge ilikuwa inanilazimisha niisomeshe (Tsh. 3,210,000/yr) kwa miaka mitatu. Nimegoma sasa eti imenibloku. Shwaini kabisa! ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Kenge mnaitwa huku mje mjitetee kuwa ninyi ni yatima hadi mwatwishe majukumu ya wazazi wenu Me au tamaa?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ