Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Haaaa haaaa hivi akienda Pemba atapona kweli...manyama ni yale makalio yake makubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaaa hivi akienda Pemba atapona kweli...manyama ni yale makalio yake makubwa.
Huo haukuwa uchawa wewe.Eti Mara 'hatunaga uchawa' aliyekudanganya ni nani? Umesahau tukio la Kangi Lugola kumtukuza Jiwe kwa kumpa hadhi ya Yesu? Hadi ikapelekea Magufuli kuitwa 'Mheshimiwa Mungu'? Au Kangi Lugola hatokei Mara?
Ila Wajita mna majina ya ajabu ajabu; eti MANYAMA, mara MUSIBA. 😆🤣Utajua mwenyewee.
Kwani Wananchi wanajielewa sasa? Hawajawahi kutafakari vitu deeply.Mimi huwa sielewi vizuri
Mtu anayechukiwa saaana na wapinzani, huwa lulu saaana kwa wananchi,
Kwa mantiki hiii' wapinzani wanapaswa kubuni namna nzuri ya wao kukubalika kwa wananchi, waache chuki za kijinga
Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikajiHamna kero zinatatuliwaga hapo kwa hapo, hizo ni siasa za kishamba. Kwenye nchi yenye bureaucracy kama yetu, ni mjinga tu ataamini hizo siasa za maigizo. Anatatua kero akiwa jukwaani, ukienda kwenye mamlaka husika kwa utekelezaji unaambiwa hawafanyi kazi kwa maagizo ya jukwaaani. Ogopa tapeli.
Usipoteze muda wako na hao watu wanaotengenezwa na Makonda mwenyewe, tena kwa malipo makubwa.Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.
Ngoja tuone mwisho wa Makonda.
Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Alikuuwa?Yaani wauwaji wanaitwa manyama
AnawafunikaMimi huwa sielewi vizuri
Mtu anayechukiwa saaana na wapinzani, huwa lulu saaana kwa wananchi,
Kwa mantiki hiii' wapinzani wanapaswa kubuni namna nzuri ya wao kukubalika kwa wananchi, waache chuki za kijinga
Uzembe na ula rushwa ni sehemu ya serekali, labda uje na utetezi wa kichawa.Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikaji
Maigizo ya kishamba.Makonda alicho nacho ni uwezo wa kutambua na kutatua kero, na hasa ile hali ya kukugswa na shida za watu. Siyo kila mtu ana hiyo kalama. Dkt Magufuli alikuwa hivyo pia alipenda kuona kila mtu anapata haki yake