Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

Eti Mara 'hatunaga uchawa' aliyekudanganya ni nani? Umesahau tukio la Kangi Lugola kumtukuza Jiwe kwa kumpa hadhi ya Yesu? Hadi ikapelekea Magufuli kuitwa 'Mheshimiwa Mungu'? Au Kangi Lugola hatokei Mara?
Huo haukuwa uchawa wewe.
Ulitakiwa uelewe mtu akichapa kazi lazima atuzwe.
 
📌📌 NYOMI LA WANANCHI WALIMPOKEA MWENEZI MAKONDA LADHIIRISHA UHAI WA CCM TARIME

Maellfu ya Wananchi wajitokeza na kuonesha vibes la kutosha katika kumpokea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda , Wilayani Tarime Mkoani Mara akiwa katika muendelezo wa Ziara yake.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
1699978899875.jpg
1699978899875.jpg
1699978893144.jpg
1699978887559.jpg
1699978883002.jpg
 
Hamna kero zinatatuliwaga hapo kwa hapo, hizo ni siasa za kishamba. Kwenye nchi yenye bureaucracy kama yetu, ni mjinga tu ataamini hizo siasa za maigizo. Anatatua kero akiwa jukwaani, ukienda kwenye mamlaka husika kwa utekelezaji unaambiwa hawafanyi kazi kwa maagizo ya jukwaaani. Ogopa tapeli.
Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikaji
 
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.

Ngoja tuone mwisho wa Makonda.

Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Usipoteze muda wako na hao watu wanaotengenezwa na Makonda mwenyewe, tena kwa malipo makubwa.

Katika jamii maskini, pesa inanunua kila kitu mpaka akili za watu.
 
Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikaji
Uzembe na ula rushwa ni sehemu ya serekali, labda uje na utetezi wa kichawa.
 
Back
Top Bottom