Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

Eti Mara 'hatunaga uchawa' aliyekudanganya ni nani? Umesahau tukio la Kangi Lugola kumtukuza Jiwe kwa kumpa hadhi ya Yesu? Hadi ikapelekea Magufuli kuitwa 'Mheshimiwa Mungu'? Au Kangi Lugola hatokei Mara?
Huo haukuwa uchawa wewe.
Ulitakiwa uelewe mtu akichapa kazi lazima atuzwe.
 
📌📌 NYOMI LA WANANCHI WALIMPOKEA MWENEZI MAKONDA LADHIIRISHA UHAI WA CCM TARIME

Maellfu ya Wananchi wajitokeza na kuonesha vibes la kutosha katika kumpokea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda , Wilayani Tarime Mkoani Mara akiwa katika muendelezo wa Ziara yake.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
 
Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikaji
 
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.

Ngoja tuone mwisho wa Makonda.

Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Usipoteze muda wako na hao watu wanaotengenezwa na Makonda mwenyewe, tena kwa malipo makubwa.

Katika jamii maskini, pesa inanunua kila kitu mpaka akili za watu.
 
Mimi huwa sielewi vizuri

Mtu anayechukiwa saaana na wapinzani, huwa lulu saaana kwa wananchi,

Kwa mantiki hiii' wapinzani wanapaswa kubuni namna nzuri ya wao kukubalika kwa wananchi, waache chuki za kijinga
Anawafunika

Ndo maana unasikia nyenye muda wote
 
Basi wewe ndiye mjinga. Watanzania wanataka mtu anayetenda kama Dkt Samia na siyo uzembe na ula rushwa, ndiyo Maana CCM imeamua kusimamia uwajibikaji
Uzembe na ula rushwa ni sehemu ya serekali, labda uje na utetezi wa kichawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…