Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

.
 
Usipoteze muda wako na hao watu wanaotengenezwa na Makonda mwenyewe, tena kwa malipo makubwa.

Katika jamii maskini, pesa inanunua kila kitu mpaka akili za watu.
Hivi nyomi lote lile linalipwa?

Bora wangekuwa CCM peke Yao. Nyomi lote lile? Unalipwa mwenyewe !
 
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.

Ngoja tuone mwisho wa Makonda.

Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Sasa Manyama ni Mjita halafu fimbo ni ya Mzanaki, imekaaje hiyo?
Sina kumbukumbu viziri lkn sidhani km kulikuwa na mwinangwa mwene jina hilo Ujitani labda km kuna anaye kumbuka anikumbushe na mimi.
 
JITA,LULI &KWAYA
Manyama ina maana ya jina la mtu mme lenye tafsiri na maana ya mwindaji kwa ajili ya kitoweo (nyama),wa kike ni NYANYAMA na mimi nadhani NYANYAMA ndilo linalomfaa.
 
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.

Ngoja tuone mwisho wa Makonda.

Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Hao manyama ndiyo mkoa wa mara?
 
Ila watanzania wanafiki sana. Huwa wanaenda na upepo.
 
Mimi huwa sielewi vizuri

Mtu anayechukiwa saaana na wapinzani, huwa lulu saaana kwa wananchi,

Kwa mantiki hiii' wapinzani wanapaswa kubuni namna nzuri ya wao kukubalika kwa wananchi, waache chuki za kijinga

Nani anakwambia Makonda anapendwa?. Huyu alipigwa Chini ubunge watu wakasherekea, na akapotea mazima. Sasa hivi karudi watu wanajifanya chawa.
 
Eti kakabidhiwa fimbo ya Nyerere. Punguza uongo bwana Manyama.
 
Wakurya watoe hapo
 
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.

Ngoja tuone mwisho wa Makonda.

Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Unaongelea musoma!?....

Bado haujafika mara wewe!...

Huwezi kukubalika mkoani Mara... Kama haujakubalika TARIME...

Huwezi sema amefika Mara... Kama Bado hajakanyaga TARIME!

HAUJAFIKA MARA... KAMA BADO HUJAKANYAGA TARIME(Hasa vijijini)

TARIME HAKUNAGA FALA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…