Ile rule inayosema never outsmart your master itaenda kumtuliza Makonda siku chache zijazo.
Atazunguka huko mikoani anapiga simu kwa kila waziri, atatoa maelekezo, lakini mwisho wa siku naamini itakuwa business as usual.
Magufuli angekuwa reincarnated kwa Makonda endapo aliyepo ikulu ana tabia za Kimagufuli, lakini kinyume na hapo, ni na hili mkalitazame ...
Anyway, sijui kwanini tunamkumbuka zaidi Makonda wa Magufuli, kisha tunamsahau kabisa Makonda wa Kikwete, kama hao Makonda wawili walikuwa tofauti, basi hata huyu Makonda wa tatu wa Samia, nae atakuja kuwa tofauti pia, just a matter of time.