SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Anajitia upofu tu hivi kweli sambwanda lote lile mtu asilioneINA maana wewe lile wowowo hulioni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitia upofu tu hivi kweli sambwanda lote lile mtu asilioneINA maana wewe lile wowowo hulioni?
Mara ndio machawa mpaka wanatia aibuUkiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.
Ngoja tuone mwisho wa Makonda.
Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
Bshite ni mhutuHivi Makonda ni mkabila gani...?
Familia ya Samuel Sitta ndio unaweza kutowa majibu sahihi, maana huyo amelelewa na Mzee Samuel Sitta, kwahiyo ukosefu wa adabu alionao Samuel Sitta anahusija R.I.PBshite ni mhutu
Kamabodaboda hizo zina kesi.Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda ameagiza Bodaboda zinazoshikiliwa Polisi ziachiwe
Naye Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema ni Marufuku Magari ya Wagonjwa kubeba Mkaa
Habari Leo
Ziachiwe! Tumesema sisi CCM. Makosa hayana ufuatiliaji zaidi ya kutaka rushwa tu. Inakuwaje unakuwa na pikipiki zaidi ya elfu moja kituoni???Kamabodaboda hizo zina kesi.
Ximeua abiria au kigonga mtu jadi kifo.
Au ximeibiwa hapo onakiwaje ndugu miarobaini Makonda.
Unaingiloa hata uasiyokuhusu.
Umeandika kisesesenge sanaKamabodaboda hizo zina kesi.
Ximeua abiria au kigonga mtu jadi kifo.
Au ximeibiwa hapo onakiwaje ndugu miarobaini Makonda.
Unaingiloa hata uasiyokuhusu.
Kwa niaba ya wananchi wa Rorya kwa ujumla Mhe. Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Wambura Chege ametoa Ng’ombe kwa Ndg. Paul C. Makonda kama zawadi ya Pongezi kwa kutambua na kukubali kazi kubwa alianza kufanya toka ameidhinishwa na kupitishwa na NEC ya chama cha Mapinduzi Taifa.
Mh. Mbunge kwa niaba ya wananchi wa jimbo la Rorya wanampongeza Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza na kumteua Ndg. Paul C Makonda kushika nafasi hiyo.
“Tunaimani kubwa kama kijana mwenzetu kwa kazi nzito aliyopewa ya kukisemea na kukiimarisha chama, tunamuombea Ndg. Paul C Makonda mwenyezi Mungu ampe afya njema na atende yale yaliyo matarajio na matamanio ya Watanzania walio wengi na kiukweli ameanza Vyema”
Nchi za kishenzi utazijua tuKwa niaba ya wananchi wa Rorya kwa ujumla Mhe. Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Wambura Chege ametoa Ng’ombe kwa Ndg. Paul C. Makonda kama zawadi ya Pongezi kwa kutambua na kukubali kazi kubwa alianza kufanya toka ameidhinishwa na kupitishwa na NEC ya chama cha Mapinduzi Taifa.
Mh. Mbunge kwa niaba ya wananchi wa jimbo la Rorya wanampongeza Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza na kumteua Ndg. Paul C Makonda kushika nafasi hiyo.
“Tunaimani kubwa kama kijana mwenzetu kwa kazi nzito aliyopewa ya kukisemea na kukiimarisha chama, tunamuombea Ndg. Paul C Makonda mwenyezi Mungu ampe afya njema na atende yale yaliyo matarajio na matamanio ya Watanzania walio wengi na kiukweli ameanza Vyema”
Stupid, kama boda boda za wizi? hazina Insuarance, zina migogoro ya umiliki? hazijalipa kodi za TRa. Nchi ya kishenzi na watawala washenziKatibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda ameagiza Bodaboda zinazoshikiliwa Polisi ziachiwe
Naye Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema ni Marufuku Magari ya Wagonjwa kubeba Mkaa
Habari Leo
Kamabodaboda hizo zina kesi.
Ximeua abiria au kigonga mtu jadi kifo.
Au ximeibiwa hapo onakiwaje ndugu miarobaini Makonda.
Unaingiloa hata uasiyokuhusu.
Bodaboda zote ziachiwe? Anajuwa kila kosa la bodaboda iliyokamatwa?Polisi hajui Sheria kwa hiyo wanawaonea boda? Makonda ni kiongozi wa serikali? Mbona anapuyanga kama gari bovu. JPM alitengeneza system mbaya sana hisiyofuata Sheria, na Samia nae ngoja amuendekeze akidhani kuna watu anawakomoa lakini itamcost muda si mrefu.Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda ameagiza Bodaboda zinazoshikiliwa Polisi ziachiwe
Naye Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema ni Marufuku Magari ya Wagonjwa kubeba Mkaa
Habari Leo
acha utotoKamabodaboda hizo zina kesi.
Ximeua abiria au kigonga mtu jadi kifo.
Au ximeibiwa hapo onakiwaje ndugu miarobaini Makonda.
Unaingiloa hata uasiyokuhusu.
😂😂😂😂acha utoto