Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

Kama makonda mlume kweli, na Kama Ummy anajali watu wa chini, Basi watoe amri maiti zote zinazoshikiliwa mahospitalini kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu ziachiliwe zikazikwe.
 
Mizigo ya magendo Ina Sheria zake ambazo ziko kwenye EAST AFRICA CUSTOMS ACT au customs departmental instructions. Sijui Kama Kaka makonda amepitia hivi vitabu au Kama anajua uwepo wake.
Makonda adili na watendaji awaache polisi na wataalam wengine wafanye kazi zao.
 
Katibu wangu pole na majukumu

Baada ya kupita tarime ulitoa baadhi ya maagizo nikiwa naangalia itv nilifurahi kuona

Ukiwaasa polisi warudishe pikipik za vijana walizokamata wakitokea sirali mpakani

Sasa agizo lako mpaka sasa limegeuka dili polisi wanataka washikishwe tena parefu ndio waachie pikpik na wengine wakitishiwa kutaifishwa

Makonda nimeona tena itv ileile vijana wakitoa machozi wakilia na kulalamika walishatoa hela nyingi na sasa ulipokuja wakajua mkombozi amefika mpaka sasa zile pikpik wamegoma kutoa

Kaama kiongozi wa chama ningependa agizo likitoka lifanyiwe kazi na zaidi nomba wale waliohusika kuzuia hizo pikpik wafundishwe adabu wajue nn maana ya kiongozi

Tunaomba na nisingependa kuona hili jambo la boda boda tena wakililia pikpik zao. Tunaomba kama unaweza kuwasiliana na uongozi wa Tarime itakuwa jambo jema ili jambo kama hili lisijirudie tena mikoa mingine

Kiongozi anapotoa oda lazima mkoa ulifanyie kazi otherwise nakutakia safari njema mikoa iliobakia mungu akutunze awatunze wote kwenye msafara mrudi salama lumumba
 
Mtoa post badilisha kichwa cha habari,,

Kusimikwa maana yake ni kuchomekwa au kuchomeka kitu.
Halina maana nzr kwa jamii..
 
Manyama nje manyama ndani kudadadadeq
FB_IMG_1700279756512.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwita Waitara alimuomba Mwenezi wa CCM komredi Makonda pale pale mkutanoni ampigie Simu Waziri wa Fedha Dr Mwigullu kumuagiza aruhusu Cement ya Kenya iingie Tarime

Mwita alilalamika kuwa Cement kutoka Kenya inauzwa tsh 15,000 na Hii ya Tanzania inauzwa tsh 25,000 hivyo Wananchi wanashindwa kujenga nyumba za Kuishi

Komredi Makonda akasema haina haja ya kupiga Simu kwa Mwigullu hilo analitolea maelekezo Hapo Hapo yeye mwenyewe kisha akampa maagizo mkuu wa mkoa ambaye ni kipenzi cha Wananchi mkoani Mara

Source: Habari Digital
 
..manyama ni yale makalio yake makubwa.
aiseee, kusema kweli huna staha,

Nilikuwa napenda sana hoja zako, lakini udhalilishaji wa binaadamu mwinzio hapana,

Una kila dalili wewe ni mtu mzima kabisa, acha udhalilishali wa maumbile ya binadamu ndugu.
 
aiseee, kusema kweli huna staha,

Nilikuwa napenda sana hoja zako, lakini udhalilishaji wa binaadamu mwinzio hapana,

Una kila dalili wewe ni mtu mzima kabisa, acha udhalilishali wa maumbile ya binadamu ndugu.
Hajamdhalilisha bali amesifia maumbile yake,au unataka kusema lile sambwanda ni mifupa ile,yale manyama tupu.
 
aiseee, kusema kweli huna staha,

Nilikuwa napenda sana hoja zako, lakini udhalilishaji wa binaadamu mwinzio hapana,

Una kila dalili wewe ni mtu mzima kabisa, acha udhalilishali wa maumbile ya binadamu ndugu.

..kwani sio LGBT yule?
 
Kwa hiyo unataka kuwapa ujumbe wana JF kwamba Komredi PCM anatakiwa kuwa na harufu ya nyama muda wote huku zingine zikining'inia mdomoni na mikononi?

Nini maana ya 'MANYAMA' katika makabila haya ya mkoa wa Mara?
1. Kurya
2. Jaluo
3. Jita
4. Kerewe
5. Zanaki
6. Simbiti
7. Ikoma
8. Ikizu
9. Kwaya
10. Suba na
11. Sizaki?

*Kati ya makabila tajwa hapo juu atakuwa amesimikwa na Wajita waliochanganya na Wakurya
Umesahau kitu kimoja. Kabila kuu la 3 (kati ya 26) Mkoani Mara ni Wasukuma, wako Bunda na Ikizu na Majita. Kwa Kisukuma Manyama maana yake ni manyama yaani mlanyama yaani asili yae muwindaji. Mwaka 1957 ilipoundwa Serengeti National Park kabila lililoathirika zaidi ni Wasukuma wa Meatu wakifuatiwa na Wangoreme wa Fort Ikoma na Washashi wa Ikizu, Wamasai walikuwa wachache sana na Watatoga wa porini.
 
Back
Top Bottom