Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mzee six alikuwa mtu m'badi sanaFamilia ya Samuel Sitta ndio unaweza kutowa majibu sahihi, maana huyo amelelewa na Mzee Samuel Sitta, kwahiyo ukosefu wa adabu alionao Samuel Sitta anahusija R.I.P
mkuu fwatilia ziara zake utaelewa zaidiPolisi hawawezi kufanyia kazi kauli ya katibu mwenezi wa chama
Hata kama sio kiongozi wa serikali?!Kiongozi anapotoa oda lazima mkoa ulifanyi e kazi
Itoshe tu kusema umezoea kukalia 🖕Tena hakuna watu waoga na wajinga kama watu wa Mara
Dingi akoItoshe tu kusema umezoea kukalia 🖕
aiseee, kusema kweli huna staha,..manyama ni yale makalio yake makubwa.
Hajamdhalilisha bali amesifia maumbile yake,au unataka kusema lile sambwanda ni mifupa ile,yale manyama tupu.aiseee, kusema kweli huna staha,
Nilikuwa napenda sana hoja zako, lakini udhalilishaji wa binaadamu mwinzio hapana,
Una kila dalili wewe ni mtu mzima kabisa, acha udhalilishali wa maumbile ya binadamu ndugu.
aiseee, kusema kweli huna staha,
Nilikuwa napenda sana hoja zako, lakini udhalilishaji wa binaadamu mwinzio hapana,
Una kila dalili wewe ni mtu mzima kabisa, acha udhalilishali wa maumbile ya binadamu ndugu.
Umesahau kitu kimoja. Kabila kuu la 3 (kati ya 26) Mkoani Mara ni Wasukuma, wako Bunda na Ikizu na Majita. Kwa Kisukuma Manyama maana yake ni manyama yaani mlanyama yaani asili yae muwindaji. Mwaka 1957 ilipoundwa Serengeti National Park kabila lililoathirika zaidi ni Wasukuma wa Meatu wakifuatiwa na Wangoreme wa Fort Ikoma na Washashi wa Ikizu, Wamasai walikuwa wachache sana na Watatoga wa porini.Kwa hiyo unataka kuwapa ujumbe wana JF kwamba Komredi PCM anatakiwa kuwa na harufu ya nyama muda wote huku zingine zikining'inia mdomoni na mikononi?
Nini maana ya 'MANYAMA' katika makabila haya ya mkoa wa Mara?
1. Kurya
2. Jaluo
3. Jita
4. Kerewe
5. Zanaki
6. Simbiti
7. Ikoma
8. Ikizu
9. Kwaya
10. Suba na
11. Sizaki?
*Kati ya makabila tajwa hapo juu atakuwa amesimikwa na Wajita waliochanganya na Wakurya