Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Mitaa ulioitaja buzebazeba na gungu kwa waswahili. Halafu Kigoma hakuna bahari kuna ziwa
 
Ahahahahaha! Watu wa Dar huwa mnatufurahisha sie wa bara na kamsemo kenu ka"...huku hamna mzunguko wa pesa kabisa..." Ahahahahaha! Wakati huo mtu uko Dar mwaka wa kumi unapanga chumba kimoja! Ahahahahaha!! Hongereni sana watu wa Daslam!!!
 
Sasa wewe Kgma chumba elfu 5, mwanga na kigoma mjini chumba ndo elfu 20, sasa utafananisha na dar hata nyumba ya Giza ni elfu 15 porini huko
 
Hiyo bahari ya Kigoma ipo senemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…