Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Babu zetu , Bibi zetu ziwa huwa wanaita bahari tangu zamani. Hata ardhi huita nchi.
Akifika shinyanga anasema hiii nchi ni kame sana. Ukweli ni kwamba ardhi ni nchi.
Mtoa mada umesahau kusema kuwa vyakula bei chini sana kasoro mchele ambao haulimwi sana.
Afadhali uwaambie ziwa huita bahari huko. Mchele yeah bei ilikuwa sawa na dar tu
 
Wamanyema wa Tanzania usifananishe na wa kongo hata kidogo. Wamanyema wa Tanzania ni mchanganyiko wa makabila mengi sana yakiwemo ya kongo na Tanzania.
Ikisema wamanyema ni wabaya basi utakuwa umesema wabantu wote, kwa nini ?
Kihistoria wabantu wameibukia kutoka bonde la Niger kushuka kongo na kusambaa sehemu mbali mbali. Kwa hio kongo ni chimbuko la mtu mweusi mbantu. Hata wewe kama ni mbantu basi babu zako hio ndio njia yao.
Wabantu wengi hawajui hilo.
Kumbee eehh
 
Kama hukufika Kibondo, hujafika Kigoma.
 
Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe

1. Kigoma hakuna foleni barabarani.

2. Hakukuwa na dalalada za mjini kama huku Bali Kuna vibajaji.

Basi nikapanda kibajaji , njiani namwambia dereva

"Vipi hakuna foleni , tutawahi kufika".

Dereva akanishangaa😅, akanambia "huku hakunaga foleni", nikasema "weee, kumbe". Baada ya dakika kadhaa kweli tukawa tumefika Kigoma mjini ( mwisho wa reli).

3. Watoto wa kule ni wakubwa tofauti na umri wao.

Pale kwa wenyeji wetu kulikuwa na Wasichana , ukiwaangalia mimi na wao tulikuwa kimo sawa na wengine walinizidi , kumbe bhana ni vitoto😅 ila miili mikubwa.

Nilijua hayo siku alipokuja mtoto wa mwenyeji wetu kutuona, wakati wa maongezi ndo akataja umri wake , miaka 16 , ukimwangalia sasa huyo msichana wa miaka 16 na mimi wakati huo 21 heee!! Yeye mkubwa mimi mdogo. Nikaulizia na wale wengine eti miaka 15, 16, 17 hakuna 18 , duuh!! Nikasema tembea uone.

4.Samaki fresh kutoka baharini zinanenepesha.

Ndani ya mwezi mmoja wa kukaa hapo nguo nilokuja nazo zikawa ndogo, zinanibana nimefutuka balaa, nikafanya udadisi bhanaa, kumbe ni zile samaki( migebuka) inatoka Moja kwa moja baharini tunaila ikiwa fresh ndo inatunenepesha, kwahiyo vile vitoto vinanenepeshwa na migebuka na marumbu.

5. Mzunguko mdogo wa pesa miaka nenda miaka rudi.

Kumbe ndomna waha wanang'ang'ania dar, kgma mzunguko wa pesa upo taratiibu sanaa, dar unaweza kuishi kwa kuuza barafu na ice cream sio kigoma, unamuzia nani!?.

6. Wanawake ndo watafutaji kwa asilimia kubwa.

Kila utakapokatiza unakutana na wanawake na mashuka Yao, hata wakiwa kwenye mikutano wapo nayo, masokoni ndo usiseme wamejaa, waume zao wapo kwenye vijiwe vya kahawa wanajadili ACT wazalendo, akirudi akute ugali umeiva.

7. Wanaume wa gungu ni wajuaji kuliko sehemu zingine.

Yaani wanaume wa gungu unaweza ukabishana nao mpaka asubuhi bila kuchoka, Kila kitu wanajua wao, hakuna wasichokijua.

Ni mji Mzuri kwa kupumzisha akili ila kimaisha mgumu sana.

Najipanga nirudi tena.
Hakuna Bahari Kigoma.
 
Katika miji ambayo imetulia na haina purukushani nyingi za maisha ni kigoma na bukoba,hali ya hewa na chakula ni fantastic maeneo hayo..shida tu mzunguko wa pesa.

Ila bukoba kuna vibe sana,TurnPoint,Sunrise beach,eco beach.
 
Yeah kbsaa mazingira tulivu sanaaa
 
Back
Top Bottom