Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Nakazia
Tatizo Ni Kubwa Sana Sana
Darasa La Nne Yote Yanafundishwa
Hajui Tofauti Ya Bahari Na Ziwa
Anajua Buzebazeba, Gungu, Kwa Bela, Mwandiga
Ikiwezekana waibadilishe iwe bahari rasmi
 
Wamanyema ndio wanawake wazuri ? hebu nenda kwenye chimbuko lao kule Eastern Congo huko Maniema Province ukajionee vituko..
Hakuna mwanamke mmbaya Duniani shida matunzo tu ndo huwatofautisha
 
kigoma hakuna bahari ni ziwa Tanganyika..Jiografia ulipata ngapi?
Babu zetu , Bibi zetu ziwa huwa wanaita bahari tangu zamani. Hata ardhi huita nchi.
Akifika shinyanga anasema hiii nchi ni kame sana. Ukweli ni kwamba ardhi ni nchi.
Mtoa mada umesahau kusema kuwa vyakula bei chini sana kasoro mchele ambao haulimwi sana.
 
Mkoa wa kigoma uliharibiwa ni vita ya nchi jirani.za.ani kulikuwa na wage i wengi kutika kongo,zambia,burundi na rwanda. Kuja miaka ya 90 mambo yakaharibika kabisa .
 
Wamanyema ndio wanawake wazuri ? hebu nenda kwenye chimbuko lao kule Eastern Congo huko Maniema Province ukajionee vituko..
Wamanyema wa Tanzania usifananishe na wa kongo hata kidogo. Wamanyema wa Tanzania ni mchanganyiko wa makabila mengi sana yakiwemo ya kongo na Tanzania.
Ikisema wamanyema ni wabaya basi utakuwa umesema wabantu wote, kwa nini ?
Kihistoria wabantu wameibukia kutoka bonde la Niger kushuka kongo na kusambaa sehemu mbali mbali. Kwa hio kongo ni chimbuko la mtu mweusi mbantu. Hata wewe kama ni mbantu basi babu zako hio ndio njia yao.
Wabantu wengi hawajui hilo.
 
Back
Top Bottom