Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

Unasikia Ila huna uhakika.. wilaya inayoongoza Kigoma kwa kipato ni Kasulu na bishara ipo kuliko Kigoma mjini. Rudi fanya research yako vizuri..
Yeah Sina hakika kwakua sikukaa sanaa lakini ndo nimesema pengine maana kule kasulu naskia wamepakana na Uganda Kwahy huenda biashara ikawa changamfu maana nilinunua vitu kwa bei Chee tofauti na kigoma mjini.
 
Samaki wanapelekewa… migebuka inafika Dar sembuse Kasulu. Nimewala sana samaki nikiwa huko kikazi. Unasema nafaka tuu ndo zimejaa means hakuna nyama? Kuku? etc
Sijasema hakuna nyama ila upatikanaji wake sio mkubwa kma kigoma mjini hata bei huenda sio sawa, kama huku migebuka inapatikana kwa msimu na baadhi ya maeneo hakuna kbsaa
 
Back
Top Bottom