Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #121
Hapana sinaga hasira hata kidogo ni mtu wa kupotezea jambo lolote ukitaka kulipa uzito ni wewe tu lakini ukiliamua kulipa uwepes chap kabisa maisha lazima yaendeleeSawa mdogo angu...ila usiwe na hasira sana... Usipende kufuta namba za watu sawa...
apana! Ngoja kwanza mwenye nyumba atoe vitu nje ndo niombeJaribu mkuu uoga wako ndio umaskin wako
Mazoezi Gani
Et kisa wewe mlefu af unatembea kama unaumwa mgongo 😂😂watu wa arusha tunaonekana wabaya ila tuko peace sana 😅
Mtoto wa mitaa ya dukabovu🤣watu wa arusha tunaonekana wabaya ila tuko peace sana 😅
Kwako imekaa poa sanapDizaini ya kazi nazofanya inanilazimu kusave namba mpya karibu kila siku ya kazi (sekta ya media, marketing na research) niisipo-save namba ya source, basi ya client, nisiposave ya hao basi expert au watu wa authority na kwenye harakati huku na kule nakutana na maua na wana kibao hivyo inanibidi nisave maana usipowacheki wao wanakucheki, hivyo inabidi usave tu ili kuepusha kuulizana ulizana majina, na urahisi wa kupata feedback na follow-up
walahi wewe ni qumar....Et kisa wewe mlefu af unatembea kama unaumwa mgongo 😂😂
umekaa arusha??Mtoto wa mitaa ya dukabovu🤣
Mkuu leo nakuona kwa kila threadPanding au sio
Mim hao mashangaz nawajulia wapi?
sintosahau wosia wako shangazi 😅Zingatia ushauri usije ukasema hukuambiwa
Kwani anasomaZingatia ushauri usije ukasema hukuambiwa
hata mabinti wachanga wanapendwa, mashangazi tunawapigia umbea tu...Wanaume wa humu 89% wako after 'mashangazi'
niko chuo....Kwani anasoma
Chuo ganiniko chuo....
Hongera🤣👋Leo tena ya jf member 😋
Ana miaka 19 kamaliza form 6. Ni mtoto wetu huyuKwani anasoma