Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #121
Hapana sinaga hasira hata kidogo ni mtu wa kupotezea jambo lolote ukitaka kulipa uzito ni wewe tu lakini ukiliamua kulipa uwepes chap kabisa maisha lazima yaendeleeSawa mdogo angu...ila usiwe na hasira sana... Usipende kufuta namba za watu sawa...