Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Dizaini ya kazi nazofanya inanilazimu kusave namba mpya karibu kila siku ya kazi (sekta ya media, marketing na research) niisipo-save namba ya source, basi ya client, nisiposave ya hao basi expert au watu wa authority na kwenye harakati huku na kule nakutana na maua na wana kibao hivyo inanibidi nisave maana usipowacheki wao wanakucheki, hivyo inabidi usave tu ili kuepusha kuulizana ulizana majina, na urahisi wa kupata feedback na follow-up
 
Nyingi huwa zinaishia kwenye call history (ile kuipiga ili kuijaribu kama inaita, wakati wakubadilishana namba), asiponitafuta ndani ya siku kadhaa ninakuwa nimemsahau na namba yake siwezi kuipata tena (kuchambua ni kazi).

Hii si kwa wote ila ni kwa wale ambao siwezi kuwanyima namba nikiwa mbele yao na ninaona kabisa hakuna chochote nitagain, hivyo ni bora aisave yeye ili akinitafuta anipate( kama nitakuwa na muda).

Naheshimu watu wote, ila sioni umuhimu wa kusave namba ya kila raia unaekutana nae, unakuta una majina 200 ila ya maana ni 50 au 40.
 
Dizaini ya kazi nazofanya inanilazimu kusave namba mpya karibu kila siku ya kazi (sekta ya media, marketing na research) niisipo-save namba ya source, basi ya client, nisiposave ya hao basi expert au watu wa authority na kwenye harakati huku na kule nakutana na maua na wana kibao hivyo inanibidi nisave maana usipowacheki wao wanakucheki, hivyo inabidi usave tu ili kuepusha kuulizana ulizana majina, na urahisi wa kupata feedback na follow-up
Kwako imekaa poa sanap
 
Back
Top Bottom