Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hongera aseLeo asubuhi
Mimi sipingi bila pesa hapdamu inachemka bro.... walahi nikimaliza chuo lazima nitapopoa mwanaJF....π hii ni ahadi najiwekea na nyie Half american na Johnnie Walker ni mashahidi wangu...π
dogo nataka kupopoa sio kupopolewa... elewaUsituharibie kijana mzee Gily unaharibiwa mtoto wako huku anataka kubemendwa ππ
Hayo mambo yanaendaga kimya kimya ushaharibu kwa kutangaza, unauhabarisha umma kuwa utataka mwanajf?damu inachemka bro.... walahi nikimaliza chuo lazima nitapopoa mwanaJF....π hii ni ahadi najiwekea na nyie Half american na Johnnie Walker ni mashahidi wangu...π
penye nia pana njiaMimi sipingi bila pesa hap
Kwahiyo kijana wa kiume habemendwidogo nataka kupopoa sio kupopolewa... elewa
Si Karithi kwa mshua mastahuyu dogo anakula ndumu
Ndio nia yako kupata UTI sugu kutoka humu na njia inafungula ππpenye nia pana njia
tutajua huko mbele.... saivi ngoja nifocus kwenye kitabu πHayo mambo yanaendaga kimya kimya ushaharibu kwa kutangaza, unauhabarisha umma kuwa utataka mwanajf?
Mshua master Binadamu MtakatifuSi Karithi kwa mshua masta
Nilikuwa sijui mkuuNdiyo ulikuwa hujui πππ
Ndio baba yake?Mshua master Binadamu Mtakatifu
Haya ndio kuwa makini unafundishaje watoto wa watu umalaya ππNilikuwa sijui mkuu
huyo dogo nimempita miezi 4 πMshua master Binadamu Mtakatifu
Soma dogo ukimaliza uje uombe kazi humu sio kuja kutafuta wanawaketutajua huko mbele.... saivi ngoja nifocus kwenye kitabu π
Wewe kijana punguza moto basi ππhuyo dogo nimempita miezi 4 π
π mtoto mpuuzi sana weweHaya ndio kuwa makini unafundishaje watoto wa watu umalaya ππ