Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu vipimo huku vipo tena unanua pharmacy na unajifungia mahali unaangalia majibu peke yakohapana kapime au
njoo nikupime mimi sitotoa majibu kwa mtu yoyote
a kazi pambanaMkuu, suala la ujasiriamali lisikie tu, kila kitu ni one man army. Hakuna muda hata wa mahusiano au mambo yasiyo na tija.
Mkuu vipimo huku vipo tena unanua pharmacy na unajifungia mahali unaangalia majibu peke yako
Ila Asante nina amini sina maana wife ananyonyesha
Hapimwi mtu hapaahahahah acha uoga uhu
Pima tu, mi mara ya mwisho wiki moja iliyopita ijumaa kama ya leo.Nina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.
Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?
View attachment 3088593
February mwaka huu
usingoje mpaka dalili zijionyeshe wai dozHapimwi mtu hapa
Na wala sio woga
Dalili za ukimwi zinajulikana
ahahhah duhMaisha yangu nimewahi pima mala mbili tu, zote mademu waligom kunipa nyama ya nyama bila kupima.. ikabidi nijilipue ilikula dry..
vzr sanaPima tu, mi mara ya mwisho wiki moja iliyopita ijumaa kama ya leo.
dry tamu bana, asikuambie mtu.. bora kupima kuliko kukosa utelezi OGahahhah duh
Mpaka nipate appointment ya kufanya hvy, ila Siwez kutoka tuu mwnyw na kwenda kupima.oh vzr ila mwaka uh bado why hospital
ahahah wanasema kuna kondom zina radhadry tamu bana, asikuambie mtu.. bora kupima kuliko kukosa utelezi OG
labda kwa mtombwaj sio mtiaj.. ile kitu nyama kwa nyamaa acha kabisaaa.. usipime utamu wakeahahah wanasema kuna kondom zina radha
Unachokitafuta utakipataNina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.
Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?
View attachment 3088593
Huamini kuwa kuna watu hawachepuki?usingoje mpaka dalili zijionyeshe wai doz