Mara ya mwisho kupima HIV ni lini?

Mara ya mwisho kupima HIV ni lini?

Binafsi huwa nina utaratibu wa kupima mara Kwa mara, na mara ya mwisho nilipima Mwezi July, 2024

Ila nimegundua DSM, pamoja na kupima HIV na Mpenzi wako Kuna haja mkapima na magonjwa mwengine ya UTI, na Gonorrhea

UTI ya DSM, nadhani ndiyo UTI Kali kuliko zote Tanzania hii

Ile UTI hata kama unampiga Katerero mpenzi wako, hakikisha unatumia Kondomu ndiyo umpige, vinginevyo utaondoka nayo tu 🙌
 
For every meet!
IMG_20240906_141541.jpg
 
Back
Top Bottom