ni kweli nakumbuka niliachwa ile paap! π πaaah ila ndugu yangu haya mambo uamue wewe kumuacha ila sio uachwe ile paaap
Situmii moyo natumia akili ndiyo maana nipo sawa...Chief mbona wewe hujaachana nayo!
Au tumia akili na siyo moyo...Sawa
Akili siyo muongozo bali ni utashi...Haha huo mwongozo wa kutumia akili umetoka wapi?
[emoji1787] yuko bize na uchukuaji fomu.Ngoja Lucas Mwashambwa aje atueleze alivobubujikwa na machozi
gatyuuuAu tumia akili na siyo moyo...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Asante kwa kukubali uhalisia,,kitu chochote ukiwa hujajiandaa, hapana aseeee kinaumiza balaa.ni kweli nakumbuka niliachwa ile paap! π π
NILISHANGAA KWANINI napiga simu hapokei, text no response nikiweka miadi ananikwepa, akaja kujibu nikamuuliza "mi na wewe ndio basi tena?" akajibu herufi tatu tu "yah". Niliumia kichizi mpaka nikawa najicheka mwenyewe, yule mbwa yule kmmk zake hata sikumkosea chochote hata hakunipa sababu.
Mpaji Mungu njoo uone, kumbe wengi wapo upande wangu na hawasemiila usilie pambania kwa mpaji π
Hah π pambania unakataje tamaa kizembe.Mpaji Mungu njoo uone, kumbe wengi wapo upande wangu na hawasemi
ngoja aje hapa kwanzaHah π pambania unakataje tamaa kizembe.
Ukiwa unakula unyumba Je?Aiseeee!! Mie kulia labda kama sina hela.
Nipo kwa Gwajima huku nimebeba bango, utulivu mdogo ntumie voice tsupMpaji Mungu njoo uone, kumbe wengi wapo upande wangu na hawasemi