Hatari mkuu ππdah kweli heavyweight ππ€£
Kumbe nna sumuLia kijana, utoe sumu mwiliniπ€£π€£π€£
Nilihisi hivyo itakuwa ni msongoItakuwa ni PTSD + pombe
Si ndio maana una dipresheniπ€£π€£Kumbe nna sumu
Nitachoka kusubiri mimiHah huwa tunawapa muda mjifikirie then mtoe jibu which we always expect to be "YES". Mpaji Mungu kasema 2026 atakupa jibu.
Hahaha mshamba huyoSubira yavuta heri, nae kakaza so poa hizi nafasi wengine mbona hatupati.
Mtag tu ili asanuke chapnimtag asome hii au basi π
Eeeeh usiamini ya jeyiefuwengine tunasaka hizi nafasi hatupati!
Hebu mtu anisaidie kutamka enilonga
Am tayadi ai kant teki iti enilonga wai hamnitaki mimi!
kweli kabisa,wengi ni waigizaji tuhaha umenisanua.