ingawa pia unaweza pata, tatzo vigezo vingi mnooooNdio maana nilisema kupata mpenzi mtandaoni ni changamoto sana!
saivi sitaki,bado naliamfano wewe unataka wa vigezo vipi?
π
Nitashukuru sawa nkifanikisha kuwa sawaPole sana utakuwa sawa ASAP tunakuombea.
Yani natetemeka mpaka mwili, hasira zinajaa kifuani.....tutafute hela aiseeHaha π π dah
Uliplus na ile tenzi yetu π€Jana usiku. Nilikua naumimina moyo wangu kwa Bwana.
Kusifu na kutukuza kwafaa nini bila mguso wa tenzi ndugu katika Imaniπ€Uliplus na ile tenzi yetu π€
Kusifu na kutukuza kwafaa nini bila mguso wa tenzi ndugu katika Imaniπ€
Nzuri hiyoo. Ikuongoze 135 πLala na 103 π
Nimependa mashairi.. nipigie uniimbie sasa πNzuri hiyoo. Ikuongoze 135 π
Kama sio sisi Yani tuliokutana jukwaa la walevi...
Unipe no sasa...Nimependa mashairi.. nipigie uniimbie sasa π
#GODs plan.. hahaa mlevi ambae now hata hutaki kusikia harufu tu.
Nijibu Pm kwanza π€£Unipe no sasa...
Niache kula kwa machoo. Hata kuitamka sitaki. #Powerful
Experience kwanza raha ya bluetick. Adabu ikushikee wakati unanivimbia.Nijibu Pm kwanza π€£
Nitakushika tuExperience kwanza raha ya bluetick. Adabu ikushikee wakati unanivimbia.