Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Ni baba ndio kakujengea heshima
Tatizo MAMA IS SO MUCH OVER RATED.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kabisa baba yangu ni legend na ndio kanichagulia mimi kuzaliwa na mama mzuri , siku ya mwisho wa maisha ya mzee wangu , huku kwa watu yaliishia chini ya mikono ya mama yangu na mimi japo mzee alikua na wake watatu na watoto kibao, baada ya kumpambania kwa kila hali.
 
Alipokuwa hai, kila siku tuliwasiliana. Kwa sasa namkumbuka katika sala na dua.
 
Umeoa wangapi mpaka Sasa hivi?
 
Wengine mama zetu walishatangulia mbele za haki. Tunawaombea wapumzike kwa amani huko walipo.
 
Sisomi tena , nilivyoeleza ndivyo ilivyo mangi
Na bado ukamwacha na vichanga vyake?
Sasa hiyo huruma mbona haipo hapa Mangi?

Huruma ni pamoja na kuwaoa Ili uwape heshima, hao uliowala uliwqonyeaha huruma mithili ya mamio?

JF tusipretend Mangi, Mimi nampenda mama yangu ila siwezi MWEKA karibu na pesa ataniliza.
 
Watoto wangu wote wawili nawalea bwashee ni nadanganye ili iweje ? Kwamba nataka pisi za humu au ? Mkali mimi sio simple man kirahisi hivyo asee.
 
Tuma no yake mkuu tumpigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…