Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Ila wakuu mimi kuna mambo nimekuja kuyagundua:

1. Ifike mahali tutambue sio kila mtu atakua bilionea. Maisha hayako hivyo.

2. Huitaji kuwa bilionea ili uishi maisha mazuri. Kwa uchumi wa bongo hapa unaweza kuishi maisha mazuri tu kwa uchumi wa chini ya milioni 50 p.a.
Acha ushauri, jibu swali, ulishashika billion?
 
Anonymity ndio msingi wa Jf ndio maana wengi wetu tunatumia majina ambayo sio yetu. Kwenye mitandao mingine watu wanatumia mitandao kujijenga ndio maana wanaweka utambulisho wao, familia zao, biashara zao n.k
Kwamba mitandao mingine hawaruhusu I'd za kificho?
 
Kwa mifumo ya Hela ya nchi yetu huwezi kuwa na b1 ndani bila kupitia kwenye streams halali itakuletea shida Sheria za fedha haziruhusu labda useme kumiliki na sio kushika pesa taslimu mkononi au nimeelewa vibaya swali.
 
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.

Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.

Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?

Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa

nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
ilikuwa kama 650 millions, ila hata haikunishtua moyo huko kwenye billion bado ila ndio naelekea .. Nilifanya kazi na taasisi ya serikali na ilikuwa 2018 nikiwa na miaka 30 tu 😬😬😬
 
Bilini Moja imeshikwa na Watanzania Wachache Mno
Hawafiki hata 50000.
Tena wengi wameanza kuishika 2000.......

Hapa Jamii forum watu walioshika hiyo fedha Hawazidi 20,

Kwa Rate ni 0.00002%
 
Kwa mifumo ya Hela ya nchi yetu huwezi kuwa na b1 ndani bila kupitia kwenye streams halali itakuletea shida Sheria za fedha haziruhusu labda useme kumiliki na sio kushika pesa taslimu mkononi au nimeelewa vibaya swali.
Kumbe
 
Bilini Moja imeshikwa na Watanzania Wachache Mno
Hawafiki hata 50000.
Tena wengi wameanza kuishika 2000.......

Hapa Jamii forum watu walioshika hiyo fedha Hawazidi 20,

Kwa Rate ni 0.00002%
Mbona jf mapedeshe kibao sana mkuu!
 
108908.png
Wengine Bado tuna safari ndefu sana.
 
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.

Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.

Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?

Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa

nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
Kama kushika bilioni nimeanza kuwa na bilioni kwenye akaunti Toka nikiwa na umri wa miaka 18 na mwaka huu nikiwa na umri wa miaka 25 nimepata bilioni 5 na milioni 700 ambazo ni zangu binafsi katika mgao wa urithi na asa hivi nipo kwenye ujenzi wa kiwanda changu Cha aluminium na plastic

Muda si mrefu nitaanza kutoa ajira za moja kwa moja kiwandani kwa member wa jamiiforum
 
Back
Top Bottom