Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.

Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh.billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?

Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa

nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
unajiskia tu kushiba hata kama una njaa na kiu, halafu unaona tu kama nusu ya dunia ni yako na unaweza kufanya chochote na hata mtu akikugongea mlango ofisini kwako yaani unaona kumuitikia sio wajibu wako n.k

siku zingine hua najiuliza huenda hali hiyo ndio hufanya wenye ukwasi zaidi ku r.i.p katika mazingira rahisi na mepesi mno.

Yaani unajikuta unaugua wewe lakini kwakua una ukwasi unatamani mtu mwingine ndio aelezee kinachokusumbua kwa daktari na sio ww mwenyewe.🐒
 
Lete past papers watu tusiliwe bwana, au unapenda dadaako niwe shamba darasa?
Kila mtu ataliwa, n suala la muda tuu.
Past papers zipo Ila Ndo hvy nisijidai mfatiliaji wa mambo ya watu 😎
 
unajiskia tu kushiba hata kama una njaa na kiu, halafu unaona tu kama nusu ya dunia ni yako na unaweza kufanya chochote na hata mtu akikugongea mlango ofisini kwako yaani unaona kumuitikia sio wajibu wako n.k

siku zingine hua najiuliza huenda hali hiyo ndio hufanya wenye ukwasi zaidi ku r.i.p katika mazingira rahisi na mepesi mno.

Yaani unajikuta unaugua wewe lakini kwakua una ukwasi unatamani mtu mwingine ndio aelezee kinachokusumbua kwa daktari na sio ww mwenyewe.🐒
Nimekuelewa sana
 
Mimi ninazo nne ila hazipatikani zote😂
Mm mpaka kuna watu walikuwa wananishangaa inakuaje nna lain moja tuu, Ila ndo hvy sina sababu inayonifanya niwe na lain mbili
 
Back
Top Bottom