Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.

Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.

Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?

Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa

nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
 
Sijawahi shika hata milioni 60 kwa mara Moja! Hela yangu kubwa kushika ilikua 56M mkopo wa miaka 8!

Aise nilijiona tajiri, yaani ile unaenda kutoa hela kwenye ATM kama 2m halafu unaona kama hakijapungua kitu! Full kufanya massage with happy ending! Aise ziliisha hata sijui ziliishaje!
 
ndugu yangu Mbaga Jr hapa anaongelea kushika Billion 1 na sio kushika Vilainishi (vitendea kaz vyako vya kupiga nyeto ) 😊😊😊.

Alaf Jamaa anasisitiza majibu ya kweli. Billion 1 na unataka wana JF wakupe majibu ya kweli? 😊😊😊😊
Wakat ww haujauliza swali la kweli.
 
Hili swali kwa wanaJF n sawa na kuulizia bikra kwenye wodi ya wazazi 😎
 
1783249287388.png
 
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.Mara ya kwanza unashika zaidi ya tsh.billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?

Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
Huna akili!, unawinda sungura baharini!
 
Sijawahi shika hata milioni 60 kwa mara Moja! Hela yangu kubwa kushika ilikua 56M mkopo wa miaka 8!

Aise nilijiona tajiri, yaani ile unaenda kutoa hela kwenye ATM kama 2m halafu unaona kama hakijapungua kitu! Full kufanya massage with happy ending! Aise ziliisha hata sijui ziliishaje!
😀😀😀😀😀
 
ndugu yangu Mbaga Jr hapa anaongelea kushika Billion 1 na sio kushika Vilainishi (vitendea kaz vyako vya kupiga nyeto ) 😊😊😊.

Alaf Jamaa anasisitiza majibu ya kweli. Billion 1 na unataka wana JF wakupe majibu ya kweli? 😊😊😊😊
Wakat ww haujauliza swali la kweli.
BASI mkuu tufanye 100 M
 
Back
Top Bottom