TUpo wengi sanaKwamba Jf hawapo wanaomiliki 1B? Acha masihara basi kwani unawachukuliaje watu wa humu 😁
Hizo utapata wengi tu mkuu.tufanye M 200 au M 100
Nimechanganya madesa kumbe ni mwingine 😁TUpo wengi sana
Huwezi amini pesa zote hizo nimenunua kiwanja cha 16m. The rest is story😀😀😀😀😀
Mimi niseme ukweli mzee wangu mimi nilishika bn 12 nikiwa na miaka 24 tu.Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh.billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?
Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
Majibu ya kweli ili iweje?Naombeni majibu ya kweli.
Ni kama vile Una kautoto flani hivi.nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
usijali utapata zingineHuwezi amini pesa zote hizo nimenunua kiwanja cha 16m. The rest is story
Au Ulikua Mzee wa Totozi Mkuu😂,ila Sikushangai Huenda Mashine za ATM zina Uchawi maana huwa kuna kafeeling kakipekee sana kutoa Hela ATM na Akili kuja kukaa sawa mpaka ziishemoSijawahi shika hata milioni 60 kwa mara Moja! Hela yangu kubwa kushika ilikua 56M mkopo wa miaka 8!
Aise nilijiona tajiri, yaani ile unaenda kutoa hela kwenye ATM kama 2m halafu unaona kama hakijapungua kitu! Full kufanya massage with happy ending! Aise ziliisha hata sijui ziliishaje!
Sio wewe, chawa wa buku mbiliHizo utapata wengi tu mkuu.
😀😀😀Mwanetu Bilioni Moja umeitaja kama matako yaani kwamba ni rahisi tu kumiliki.
Na wapo wangapi wenye hiyo pesa humu, tukisema wacomment tuu wenye hiyo pesa bc uzi utaishia page ya kwanzaKwamba Jf hawapo wanaomiliki 1B? Acha masihara basi kwani unawachukuliaje watu wa humu 😁
Mkuu Usitupe Presha Vijana Million Elfu 1000 sio mchezoWana JF tuweke utani pembeni kidogo.Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh.billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?
Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
Ingekuwa oksijeni inauzwa ahhh fresh kitambo Nyenyere washanikulaNo job no stress na huwazi wala nini🤣
Shukuru mizimu ya kwenu😂Ingekuwa oksijeni inauzwa ahhh fresh kitambo Nyenyere washanikula
Kabisa! Na mkopo ukiisha naenda kukopa safari hii miaka 12! Haha!usijali utapata zingine
Watu wamekaa kimichongo humu, na kuna girl watalombwa sana kupitia huu uzi 🔥Sema huu Uzi utajaa matapeli ya humu JF mpaka tutakimbiana😁😁🤔