Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

Yeah! Nakumbuka mwaka 2016 nilifikisha bilioni moja, na nilikuwa nauza tu tumbaku kwa wazee hapa Kijijini.

Nilikuwa kila nikipata tu pesa natumbukiza kwenye pipa, nilipojaza pupa mbili nikazivuja na kutoa mkwanja wangu.

Hii ndo ulinifanya ni amani msemo usemao, "kidogo kidogo hujaza kibaba".
 
Back
Top Bottom