mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Mia 9 itapendeza,ngoja waje naona na wengine wameshaanza huko juu,ni mwendo wa dk shika theory😁😁
Watu wamekaa kimichongo humu, na kuna girl watalombwa sana kupitia huu uzi 🔥
JF Sio ya kinyonge, ww jipandishe kupitia comment za kimkakati tuu, utalomba sana humu mana ndio target ya wanaume weng
