Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Acha ushauri, jibu swali, ulishashika billion?Ila wakuu mimi kuna mambo nimekuja kuyagundua:
1. Ifike mahali tutambue sio kila mtu atakua bilionea. Maisha hayako hivyo.
2. Huitaji kuwa bilionea ili uishi maisha mazuri. Kwa uchumi wa bongo hapa unaweza kuishi maisha mazuri tu kwa uchumi wa chini ya milioni 50 p.a.
Kwamba mitandao mingine hawaruhusu I'd za kificho?Anonymity ndio msingi wa Jf ndio maana wengi wetu tunatumia majina ambayo sio yetu. Kwenye mitandao mingine watu wanatumia mitandao kujijenga ndio maana wanaweka utambulisho wao, familia zao, biashara zao n.k
Wewe unaonajeKwamba mitandao mingine hawaruhusu I'd za kificho?
ilikuwa kama 650 millions, ila hata haikunishtua moyo huko kwenye billion bado ila ndio naelekea .. Nilifanya kazi na taasisi ya serikali na ilikuwa 2018 nikiwa na miaka 30 tu 😬😬😬Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?
Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
Nimeshajibu kwamba sijawahi kushika hata 100m. Na huo sio ushauriAcha ushauri, jibu swali, ulishashika billion?
Confidence 💯😂Tufanye leo, c upo free?
Bado upo mbali sana ,ungeweka 1m mkuu.nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M
Kwann nizunguke 😂Confidence 💯😂
fursa zote zinazingatiwa 😁Kwann nizunguke 😂
Fresh tuu, hakuna boy huku atamfuata girl ili waende kanisani, n kulombana tuu.
Naamfursa zote zinazingatiwa 😁
KumbeKwa mifumo ya Hela ya nchi yetu huwezi kuwa na b1 ndani bila kupitia kwenye streams halali itakuletea shida Sheria za fedha haziruhusu labda useme kumiliki na sio kushika pesa taslimu mkononi au nimeelewa vibaya swali.
Mbona jf mapedeshe kibao sana mkuu!Bilini Moja imeshikwa na Watanzania Wachache Mno
Hawafiki hata 50000.
Tena wengi wameanza kuishika 2000.......
Hapa Jamii forum watu walioshika hiyo fedha Hawazidi 20,
Kwa Rate ni 0.00002%
Hakuna linaloshindikana mkuu!View attachment 3623287Wengine Bado tuna safari ndefu sana.
Kama kushika bilioni nimeanza kuwa na bilioni kwenye akaunti Toka nikiwa na umri wa miaka 18 na mwaka huu nikiwa na umri wa miaka 25 nimepata bilioni 5 na milioni 700 ambazo ni zangu binafsi katika mgao wa urithi na asa hivi nipo kwenye ujenzi wa kiwanda changu Cha aluminium na plasticWana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara, zabuni, uwekezaji, madini, urithi au nini?
Naombeni majibu ya kweli. Karibuni wenye experience tutoe darasa
nimeona billion tumeenda mbali basi tuweke 100 M