Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

Acha kulipua hio sigara ya Urusi Braza [emoji2][emoji2] unaturushia sana...


Hivi unakumbukaje mambo yaliyotokea mwaka 1989 kwa usahihi hivyo???

Halafu malaika na vitu vya kufanana na malaika vyote vipo kwenye ulimwengu wa roho. Watu waache kuchanganya ulimwengu wa Roho na mwili kama wanavyichanganya UNIVERSE na COSMOS .
Hayo unayoona kama uko timamu ni Hallucination tu, labda kama unaona ukilala maana ulimwengu wa roho huwasiliana kwa ndoto pia.
Ila kimwili Malaika na Shetani ni matendo ya watu ikitegemeana na roho ipi iko ndani ya mtu husika (Mungu/Shetani anamtumia nani na kwa wakati gani)
Mfano;
Kuna vitu hutokea kwenye maisha unajikuta hii hio kawaida huyu mtu kama Mungu vile!

Ulimwengu wa roho kwenye mwili hauna nafasi bila mwili unao exist.
 
Asante sana. Kwa maelezo yako mazuri haya. Ulichoongea bado upo kwenye imani kuwa ni hisia. Na ndicho unachokiongea hapa.

Hiki ulichokiongea ni hisia aka Imani na unaamini kuwa aliyeandika bandiko hili anatumia sigara ya urusi. Mimi naheshimu imani yako.
 
Tayari UZI
 
Hisia ni tofauti na imani mkuu..
mfano wa Hisia ni Hasira/furaha
Imani
WAEBRANIA 11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

na hili ni tatizo kubwa kushindwa kutofautisha vitu vinavyofanana kimtazamo.
 
Hisia ni tofauti na imani mkuu..
mfano wa Hisia ni Hasira/furaha
Imani
WAEBRANIA 11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

na hili ni tatizo kubwa kushindwa kutofautisha vitu vinavyofanana kimtazamo.
Hapa nadhani unaongea tisa na kenda.
Namna gani utakuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo pasipo hisia!?

Unaongelea jambo lilelile tu. Yaani uhakika wa mambo ya tarajiwayo ni kuhisi kuwa kitu kile unacho wakati huna.

Nakusihi tuliza akili kwanza uupitie uzi huu ukiwa upo open minded. Zaidi sana utakuwa unaongelea hicho hicho nilichokiandika.

Imani ipo moyoni(Nafsi), imani ni hisia.
Nikikutukana ukapata hasira ni hisia kuwa unaamini kile nilichokisema kinautwenza utu wako.

Safi kabisa uliposema hasira ni hisia very good.
 
Hisia ni tofauti na imani mkuu..
mfano wa Hisia ni Hasira/furaha
Imani
WAEBRANIA 11:1
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

na hili ni tatizo kubwa kushindwa kutofautisha vitu vinavyofanana kimtazamo.
Halafu somo la imani haliishii katika tafsiri hiyo moja tu. Imani ni jambo kubwa mno.
Kwa sababu umekuja kwa njia ya biblia. Hebu soma hapa:-
"zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. "
Waefeso 6:16
 
Ulikuwa ushaanza kuvuta bangi au kutumia kilevi chochote ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…