Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Sawa, nitafurahiiiNitakuwa rafiki yako.. Don't regret what you have! Mariposa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nitafurahiiiNitakuwa rafiki yako.. Don't regret what you have! Mariposa
Kila Mtu huambatana na wa kuendana nae.[emoji817][emoji818]Unataka kusema wenye tabia mbovu hawana marafiki?
Mimi nawaona Walevi na Wazinzi kila siku wameshibana na kusaidiana halafu wataka kusemaje,
Kila Mtu huambatana na wa kuendana nae.
You broke my heart kwa hii comment,🥲Mimi sina bahati ya Marafiki [emoji24]
Sina Rafiki wa Utotoni wala wa Ukubwani,
Hua natamani sana nikiona Marafiki wameshibana, wanataniana, wanasaidiana, wanaambatana sehemu pamoja, hata nikiangalia movies inayoonesha marafiki fulani wamepambana pamoja hua nawish na mimi ningempata Mtu/Watu wa namna hiyo,
What is wrong with me [emoji24][emoji24][emoji24]
Nilikua na rafiki moja wa utotoni nilio muamini na akaniamini, ila bahati mbaya nilivo rudi nchini nili ambiwa amefariki Iliniuma kweli kweli mpaka sasa sina rafiki hata moja, inauma sana kukosa mtu wakuamini, hu ni mwaka wa tano natafuta rafiki wa dhati lakini wapi loh!Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani
Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!
Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!
Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!
Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati
Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]View attachment 2519891
Kweli,rafiki mliekua pamoja kuna hisia flan zinawaunganisha na katu hazipotei..Huo ndio urafiki mkuu ,kader bonge la player,,mm yupo kijna Mmoja meshak Abraham sjui sasa Yuko wap ila nshaacha kumfatilia mana aliona nikama tunalia shida kwake
Ishi umo Kama wewe mzinzi tafuta mzinzi mwenzio Kama mlevi tafuta mlevi nkUnataka kusema wenye tabia mbovu hawana marafiki?
Mimi nawaona Walevi na Wazinzi kila siku wameshibana na kusaidiana halafu wataka kusemaje,
Kila Mtu huambatana na wa kuendana nae.
I agree big broRippen time not yet due!
Usipende kua judgemental kwa watu usiowafahamu na hujui wanapitia vitu gani.... Ujuaji mwingi mbele gizaIshi umo Kama wewe mzinzi tafuta mzinzi mwenzio Kama mlevi tafuta mlevi nk
Nimekosa mimi,You broke my heart kwa hii comment,🥲
We talked about it and i'm trying my best, i thought..... anyway i'm calling you now pick it up
Rafiki yako wa ukweli kabisa ni mama yako mzazi...
We kama mimi tu ...nothing is wrong tuendelee tu kusukuma gurudumu la maisha.Mimi sina bahati ya Marafiki [emoji24]
Sina Rafiki wa Utotoni wala wa Ukubwani,
Hua natamani sana nikiona Marafiki wameshibana, wanataniana, wanasaidiana, wanaambatana sehemu pamoja, hata nikiangalia movies inayoonesha marafiki fulani wamepambana pamoja hua nawish na mimi ningempata Mtu/Watu wa namna hiyo,
What is wrong with me [emoji24][emoji24][emoji24]
Daaaah!umenikumbusha mwanangu sana raymond benedict enzii hizoo skuli ya nursery loooh!tunapitia ndani ya fenc y nyumba ya mapadri pori t pori kama maofficers wa tanapa hahahahahahaUsiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani
Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!
Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!
Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!
Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati
Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]View attachment 2519891
Unataka kusema wenye tabia mbovu hawana marafiki?