Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hadi kamanda kova walimchecki wakapanda had paa la ikulu chah, walinzi wetu walikua si lolote na ujue hapo wameshachunguza kila kitu a up to zNilikua barabarani kushangilia ujio wa Obama pale getini nilishuhudia mawaziri wakivua viatu mikanda
nakuomba ufanye jaribio moja:Nothing can be done about it,hatuna technology la kuzuia hilo,wa kwetu yeye ni kiswahili tu,watapata tabu kumuelewa!
Mkuu hata face 2 face Kama wanataka kudukua watadukua tu! Hao jamaa linapokuja suala la maslahi ya nchi yao huwa hawana masikhara.Sasa Tanzania tutaficha nini?
Tunaficha nini kwa mfano yaani with our poor Technology....
Mawasiliano tuko dependant 100% , Telecom devices zoteee tunanunua kwao alafu washindwe kutuingilia ?
Sijui ikulu na viongozi wetu wanatumia njia gani kuwasiliana on private issues lakini najua wana laini za voda, Tigo, halotel ,airtel sijui na TCCL
Hatuna hata Cyber Army yakufanya propaganda kama wenzetu....
Kama vipi wapigiane tuu simu za kuonana..waongee face to face...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Yalikua zaidi ya maajabu na si ikulu tu uwanja wa ndege hotel na hata majengo karibu na ikulu bahari vilikua mali yao kwa kipindi kileHadi kamanda kova walimchecki wakapanda had paa la ikulu chah, walinzi wetu walikua si lolote na ujue hapo wameshachunguza kila kitu a up to z
Nothing new.Umesoma SOURCE ama unajibu tu.
It's NOT from me sir but rather from the source Le monde a respectable ......visit if you can read french sir.
Nothing new.
Swali Ujerumani waligundua kuwa wanadukuliwa ndo wakalalamika na sisi je?watu wamemdukua mpk merkel na yule rais wa china aliepita..km unataka usidukulike labda muwe mnawasiliana kwa barua
Waje wanidukue mimi!! Angalau wanaweza kujua nilivyo pigika wakanionea Huruma na kunipiga jeki!! Maana watashangaa jinsi simu za madai zinavyopishana hewani! Huku nyingi zikiwa hazipokelewi!! Cmon.Swali Ujerumani waligundua kuwa wanadukuliwa ndo wakalalamika na sisi je?
wee serikali zetu za kiafrica haziwez kukiri km wamedukuliwa...tutaishia kuckia kwe bbc na cnn tuSwali Ujerumani waligundua kuwa wanadukuliwa ndo wakalalamika na sisi je?
ile ilikua sinema tu ya kupatia kiki,chama chetu kilikua kidogo sana,sasa magazet yangetuandikaje!?..we hukumbuk aliletewa chupa ya mvinyo ilyotobolewa,kweli wakutake watoboe chupaJidanganye hivyo hivyo hao jamaa wanadukua kila sehemu, na sehemu nyingine ambayo ni hatari; ni kufanyia vikao vya siri kwenye kumbi za watu binafsi-huko nako wanadukuaga sana tena wanatumia vifaa kama vile alivyo wekewe Dr. Slaa kwenye chumba chake kule Dodoma.
wee serikali zetu za kiafrica haziwez kukiri km wamedukuliwa...tutaishia kuckia kwe bbc na cnn tu
Nafikiri pia serikali inaweza KUWAONGEZEA BAJETI ya kutosha upande wa...... chombo husika ili wawe na uwezo wa kufanya counter UDUKUZI na vifaa vya kisasa. Ama unaonje mkuu?wee serikali zetu za kiafrica haziwez kukiri km wamedukuliwa...tutaishia kuckia kwe bbc na cnn tu
Waje wanidukue mimi!! Angalau wanaweza kujua nilivyo pigika wakanionea Huruma na kunipiga jeki!! Maana watashangaa jinsi simu za madai zinavyopishana hewani! Huku nyingi zikiwa hazipokelewi!! Cmon.[/QUO
Yako ni kali jamani wee.Huruma!!
Waingereza WANAKIJUA kiswahili kama maji. Hapo hakuna siri. Labda TUTUNGE lugha NGUMU sana.Ambayo hata wai intercept watasikia wawimbi ya maji. Na ujumbe utakuwa umepita!Wakwetu aendelee kuongea zaidi Kiswahili ili hata wakimdukua wapate shida kidogo.
Ni mtazamo na sio kama sijui.Too low from you, CIA na mashirika makubwa yote ya kijasusi wana wataalam wa lugha zote.
Tena mambo mengine google translate inayafanya kwa ufanisi kabisa.