Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Hizi nchi za Africa chini ya jangwa la sahara sioni impact yeyote kwenye huo udukuzi sana sana watanasa mipango ya kuiba kura ,uzushi, uwongo, mambo ya umbea na vitu vinavyoendana na hivyo hakuna la maana watakalopata.
 
Maraisi wenyewe ni dizain hii ya kina Yahya Jammeh kwanini wasipelelezwe?wapelelezwe tu maana hakuna faida au hasara tutakayoipata wakifanyiwa hivyo.
Huyu Jameh wa Gambia nae kanishangaza sana. Afrika tunayo safari ndefu sana.
 
Kuwa serious kijana! ! Washadukuliwa wenye akili zao ujerumani nishangae kuhusu tz?
 
Thread ya kijinga sana. Waache wamdukue tu atajua mwenyewe. None of our business.
 
Dhubutu wale wataalamu wao wanajua kila lugha muhimu za dunia hii usijidaganye na kiswahili, kuwa hawakufatilii, tena wale wana information kuliko hata viongozi wenyewe.
Mkuu,sio wataalamu wao tu kujua lugha muhimu,bali agencies zao zao wanawatu toka mataifa almost yote waliyo na maslahi nayo. NSA pale kuna mbongo pure na wengine wapo kwenye nchi zao husika.
 
Kama wameweza kumdukua Angela Mikel itakuwa hapa?vifaa vyote vya mawasiliano ni vyao tutaweza kuwazuia?
 
Mkuu,sio wataalamu wao tu kujua lugha muhimu,bali agencies zao zao wanawatu toka mataifa almost yote waliyo na maslahi nayo. NSA pale kuna mbongo pure na wengine wapo kwenye nchi zao husika.
Nakubaliana na wewe jamaa wana maajent kila nchi ka ni uarabuni basi anakijua lugha halisi, hata Watanzania watakuwepo tu.
 
Wawe on top of things how? Mnapitishia Mawasiliano yote ya simu kupitia Satellite za nchi nyingine na intercontinental submarine fiberoptic cables za wengine mnadhani nini?
 
Hatuna ubavu wa kuzuia tusidukuliwe,labla tusitumie simu
 
Na tunaweza kuzuia kweli tusidukuliwe?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu sasa unataka kujilinganisha na wamarekani kwenye Technology?

Hacker?? Hackers wanazui ikulu ya Tz kuchugnuliwa ?

Unataka kusema Tz tuna watu wa caliber ya kina Snowden?

Kama utakumbuka CIA waliingiliaga Mazungumzo ya Siri ya Chancela wa ujerumani Angel na uwezo wote wa ujerumani sembuse Magu wa Tz...


Tz bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…