Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

Nchi yetu imeibukia sana kwa hiyo tutadukuliwa sana na kudinywa kwa sababu tuna vitu vingi vinavyohitajika kwa mataifa makubwa ...gesi mafuta faru john nakadhalika
 
Kwa nijuavyo,mtaalumu siyo fundi namaanisha mtaalamu,chochote mtu wa kawaida na kati akionacho kuwa ni siri na ameweka paswords ajuazo zote,mtaalamu atakiona atakavyo. Hatuna hata kimoja cha kuficha kama jamii iliyomakini inahitaji kukijua. Mleta mada unawaza vizuri japo wazo lako lilipaswa kutumika miaka kadhaa nyuma na si sasa.Sasa niajabu kuwa vitu vingi vyawezachunguza chochote bila wengi kujua.hata hao wanaoongoza kwa kudukuwa hawana uwezo wa kujikinga kudukuliwa.
Nashauri taifa liandae watu wake kujua uhalisia wa maisha ili wawe tayari kuzalisha katika njia sahihi na kulipa kodi sahihi ili wawe wazalendo wa kweli kwani hata hao tuwaogopao,watakapo kuja kwetu baada ya kudukuwa,watapitia miongoni mwa watanzania na wakikuta haki,mshikamano na uzalendo uko katika mwenendo mzuri,hawtakuwa na pa kupitia.
 
Japokuwa
 
Japokuwa nimekuelewa. Udharura na tahadhari unahitajika!
 
Japokuwa mabalozi hawahusiki moja kwa moja, kuna wshusika wenye miamvuli za kila aina!!!!
 
Japokuwa MABALOZI hawahusiki moja kwa moja, lakini kuna wahusika walio na MIAMVULI ya aina mbali mbali!
 
Wakiamua ni watu hatari sana na utaalamu wao uko juu sana.
Hata BOMBA la MAJI ni MICROPHONE tosha kabisa kukusikiliza wewe na mke wako chumbani mkiongea ama MKIGOMBANA. ILI MRADI tu nyumba yako ina BOMBA la maji!
 
Mitambo yote ya mawasiliano inatoka huko huko, hatuna ujanja wa kuwazuia wasitudukue watakapo.
Faiza Foxy nakuelewa lakini tunaweza kujaribu tuwezavyo kuliko kusema hatuna namna. Ama waonaje tukae tu tusubiri watudukue?
 
Tusisumbuke bure..hii kitu uwezi kuzuia kwa technology yetu hii ndogo hivi...
Labda tuanze kutengeneza vifaa vyetu..simu zetu...magar yetu...ndege zetu..satellite tuwe na yetu..n.k...kifup tusipoteze muda kuwaza vitu hivi
 
Tanzania Iko Njema Kuna Mitambo Toka Israel Ipo Hapa
nilijua mitambo iliyotengenezwa na watanzania wazalendo maprofesa na madaktari wa sayansi ya mawasiliano na wahandisi kwa ujumla kumbe kutoka israel?
 
Faiza Foxy nakuelewa lakini tunaweza kujaribu tuwezavyo kuliko kusema hatuna namna. Ama waonaje tukae tu tusubiri watudukue?

Siyo kujaribu tu, tunafanya sana lakini hakuna namna kwa kuwa hata hizo systems za ku secure mawasiliano yetu zinatoka huko huko.

Damned if you do damned if you don't.
 
Hishakiye1974 Hebu jaribu kufafanua kidogo. Ulikuwa unasema tufanye nini kwa sasa?
 
Tusisumbuke bure..hii kitu uwezi kuzuia kwa technology yetu hii ndogo hivi...
Labda tuanze kutengeneza vifaa vyetu..simu zetu...magar yetu...ndege zetu..satellite tuwe na yetu..n.k...kifup tusipoteze muda kuwaza vitu hivi

Ni vyema tukaanza kufanya tafiti za kina kutumia nyungo na TV za "wazee" waganga wa jadi kwa usalama wetu.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Siyo kujaribu tu, tunafanya sana lakini hakuna namna kwa kuwa hata hizo systems za ku secure mawasiliano yetu zinatoka huko huko.

Damned if you do damned if you don't.
Faiza Foxy nashukuru ila tunaweza kuwa na discipline na hasa tukiongezana kuwekeza katika more advanced ENCRYPTED mawasiliano yanayohusu masuala nyeti tunaweza!
 
Nilikua barabarani kushangilia ujio wa Obama pale getini nilishuhudia mawaziri wakivua viatu mikanda
Waafrika sisi wapuuzi sana. Hakika mi nigekuwa mmoja wao nisingevua na ningewasonya niondoke nikachezee vitoi ns wanangu nyumbani,....ny ccckko zao
 
Faiza Foxy nashukuru ila tunaweza kuwa na discipline na hasa tukiongezana kuwekeza katika more advanced ENCRYPTED mawasiliano yanayohusu masuala nyeti tunaweza!

Tunazo encryption units lakini zinatoka wapi? Zinatumia mitandao (networks) zipi?

Back to square one, damned if you do damned if you don't.

Sijakuelewa hapo uliposema, tunaweza kuwa na discipline, una maanisha nini?
 
Mkuu nimefanya na ni muda sasa sijaona lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…