Mkuu mimi pia nimekuwa nikisema sana humu na kuambulia kuonekana Hayawani.Mstaafu. J.Kikwete hana baya kabisa kwa upande wangu, period. And of course, he’s the best President of all time(kwangu mimi).
Huu ni ukweli mchungu na ndiye rais aliyechafuliwa Sana Ili aonekane mbaya lakini nakwambia mpaka kesho hatutakuja kuwapata Marais Kama J.K Hawa wawili.
Mkuu mimi pia nimekuwa nikisema sana humu na kuambulia kuonekana Hayawani.
Ni kweli kama Baba wa taifa alifanya vile kwa wakati ule kwa nini sisi tusifanye changes kulingana na wakati huu tuliopoNyerere alifanya alichoweza kwa kipindi chake,uchawa ulitokana na mfumo wa chama kimoja na siasa za kikomunisti na vita baridi. Kwa sera mifumo ya wakati huo ilikuwa sahihi. Je Baada ya kubadilisha uendeshaji na mifumo kikatiba,Tujiulize uchawa wa sasa unatokana na nini hasa?ni mwendelezo wa matokeo ya historia au hatujafanya mageuzi sawasawa,haya ni mazao ya mfumo zamani uliozaa za kusifiana , basi kama tunataka mabadiliko/mageuzi kweli kweli ni lazima kuwa na KATBA MPYA ili Kubadili mifumo,mindset na dhana zote kuongeza uwajibikaji.Kauli za unaupiga mwingi zitapungua zenyewe tu au kutoweka kabisa na zitatolewa kiukweli bila unafiki wa kutafuta fursa kwa mwelekeo wa jamii kifalme vinginevyo zitatolewa pale itakapokuwa muhimu sana kwa kuzingatia ukweli.
Ni mawazo yako na binafsi ninayaheshimu. Ila mimi nina mtazamo tofauti.Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.
Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja.
Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya kusifiwa sifiwa Hawa watu walikuwa hawataki kabisa!!
Nyerere alikuwa ni zaidi ya kiongozi ndiye alijenga viwanda karibia kila mkoa halafu mkapa akaja kuviuza vyote.
Kuna watu wanamtukana Kikwete naweza sema ni wakurupukaji tu Kikwete mambo yote ya Rushwa na ufisadi yaliasisiwa na Mwinyi na Mkapa Hawa ndio waasisi wa ushenzi na ufisadi wa kupindukia unaitafuna Tanzania.
Rais Kikwete alitaka kila mtanzania ajue kinachoendela kwenye nchi yake na hakuwa na watetezi ndio maana alionekana fala wakati rais mzuri ni yule anayeweka transparent Ili yeye aje achukue maamuzi mwishoni.
Kikwete Kama asingekuwa Samia, Sita na Mkapa now toka 2015 tungekuwa na Katiba mpya.
Hizo IPTL, Dowans, Richmond, Buzwagi na uchafu mwingine ni zao la utawala wa Mwinyi na Mkapa sema watu tunaangalia matokeo lakini hatuangalii chanzo Cha hayo matokeo. Mkataba wa IPTL kwa mfano ulisainiwa mwaka 1994 kea Mara ya kwanza.
Kikwete alikemea udini kwa vitendo na hakuwa mnafiki aliwachana waislamu waziwazi kwamba hawawezi kuwa sawa na Wakristo.
Nyerere vile vile alikemea udini waziwazi kwa kusema yeye hateui kwa kuangalia dini ya mtu ila uwezo wake na Wala dini zao hazijui.
Rais Samia hawezi kukemea udini ambao unasambaa kwenye serikali yake.
Pia Magufuli alishindwa kukemea udini na ukabila na ukanda uliokuwa ukisambaa kwenye serikali yake.
Mkapa aliua watu zanzibar kiuni Sana na hapa alionyesha udini wa Hali ya juu sana!
Samia Kama ilivyokuwa Mkapa, Magufuli na wote hawataki kushauriwa kwa mtazamo wa ndani wanaonekana.
Mnaojua historia mkumbuke uhuru wa mahakama na uendeshaji wa kesi kwenye utawala wa Nyerere na Kikwete.
Rais Samia anahubiri utawala wa sheria halafu anawakumbatia watu wasiyofuata sheria ndani ya bunge na serikali.
Rais lazima awe wa watu, aruhusu bunge huru, akosolewe na awe mzalendo asiwe na makando kando ya wizi na ufisadi, asiwalinde majambazi na kuwatukana raia wake. Ndiyo maana kwenye utawala wa Nyerere watu wengi walijiuzulu na pengine utawala wa Kikwete ulivunja record ya watu kujiuzulu.
Sio mtu anajiuzulu kwa shinikizo la kumkosoa Rais.
Kwa Sasa hatuna Uongozi huu ni ukweli mchungu! Rais hapanic.
Mpaka kesho rais Bora ni Kikwete na Nyerere R.I.P.
Kumbe eeehNarudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete.