Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

Mmh kweli aisee
 
Hata waje mia
 
Nje ya hoja , ukitaka kunielewa mfuatilie abbas akitangaza watakaohudhuria kuapishwa kwa Magufuli 2020 , alimtaja hadi TB Joshua , sasa ulimuona ?
Mwenyekiti wa chama wakiwa na kamati kuu, walitangaza hatua za kuwachukulia kina Mdee lkn mpk leo tuna miezi minne sasa hakuna hatua walizochukuliwa, kina Mdee wanadunda na mwenyekiti anavuta ruzuku kila mwezi. Lkn sijawahi kuona ukitoa tahadhari juu yake japo uongo anaoufanya ni wa dhahiri. Nje ya mada lkn nimekumbushia tu juu ya uongo wa viongozi mbali mbali, na sio Abasi peke yake
 
Wana akili kweli. Wameona waje wapate upako wa JPM. Kwa mwanasiasa wa hapa Tanzania jitahidi sana umbatane na upako wa JPM kuhuhisha maisha yako ya kisiasa.
 
Comment ya hovyo kabisa, unajua gharama za kukiendesha chama chenye ukubwa wa CDM nchi nzima?umeshawahi hata kuendesha biashara?walivyokosa wabunge ndio kabisa CDM inakufa, itakuwa kama TLP na CUF...CDM ni chama muhimu sana kwa afya ya nchi yetu kwa sasa, upinzani siyo uadui
 
mama maalim seif duh🤣🤣🤣
 
Na Buhari yumo? Abaki huko huko Nigeria
 
Najua kama siasa sio uadui na hapa hatujatengeneza uadui bali tunaelimishana kuwa watu wasioaminika wapo pande zote za vyama na serikali, na sio kum judge Abasi peke yake
 
Ni jambo jema, ila sidhani kama kuna wa kutoka ulaya wote watakuwa wa hapahapa nchi za eac na sadc
Mawazo ya kitumwa haya. Bila kupinga pinga kila kitu hauwi nyumbu
Eti HAKUNA wa kutoka ulaya kwani aliyesema wanatoka ulaya Nani?
 
Najua kama siasa sio uadui na hapa hatujatengeneza uadui bali tunaelimishana kuwa watu wasioaminika wapo pande zote za vyama na serikali, na sio kum judge Abasi peke yake
Abasi ana "jajiwa" kwa nafasi yake ila kuiingiza CDM na michango ya wabunge siyo sahihi, check and balance...CCM lazima ijambishwe kila wakati na upinzani ili ikae sawa, just imagine hakuna upinzani kabisa yani kila kitu kinapita smoothly itakuwaje?hayati hakupenda upinzani na maneno maneno yanayomkasirisha ila ni yeye alikuwa MPINZANI wa CCM akajaribu kuibadilisha,ikabadilika na sasa CCM ni moja ya vyama tajiri kabisa duniani, alierudisha mali za ccm kwa ccm, za nchi kwa nchi ila sijui itakuaje kwa sasa...JK alikua ni muumini wa don't eat alone, huyu alikuwa hujafanya kazi huli, hujalima basi mkulima atakulima kwenye bei
 
Hapo kwa Mama Mugabe futa.
 
Mama kenyatta yuko hai,
Mama sokoine yuko hai
Mama elinewinga yuko hai
Mama mollel wa snowcret yuko hai
Mama samwel sita yuko hai
Mama Daniel moi yuko hai
Mama daftari,ded korogwe yuko hai
 
Wana akili kweli. Wameona waje wapate upako wa JPM. Kwa mwanasiasa wa hapa Tanzania jitahidi sana umbatane na upako wa JPM kuhuhisha maisha yako ya kisiasa.
Aisee[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…